Recent content by Mkwaju Wa dawa

  1. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Sista Ulichonifanyia Sikusamehe Mpaka Kiama

    Hivi Cox, Stunter na Kagi Kijana Machachari mna udugu hata usio wa damu?
  3. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

    Mbali na kuibiwa ila huyu hakustahili hata kuwa Miss Tz. Inawezekana kweli hilo suala la kuibiwa idea ni sawa lakini naamini tukiacha maigizo na kuwa wahalisia tu hakuna namna huyu angeweza fanya vema huko kwa sababu hata hapa nyumbani ushindi wake kama ulikuwa wa ujanjaujanja flani hivi...
  4. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Bhagdad ft Roma ft Snura "k ni k"

    Hata kupost ni k pia.... Hahaha!! #k ni k bwana
  5. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Madrid win, fc Porto 0-3
  6. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

    Nashindwa kupiga kura maana karibu wote uliowaorodhesha wananifuata pm kuulizia why role model wao sipo?? [emoji1] [emoji1]
  7. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Tecno Camon C8 240k, mwenye uhitaji akuje pm chap [emoji1] [emoji1]
  8. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Mwenye namba ya Makonda naiomba tafadhali. Au ajuaye zilipo ofisi za Mkuu Wa Mkoa Dsm anielekeze wakuu
  9. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Mnyoosho tu huu, pigeni pasi kama itabaki na mikunjo

    Daudi Mchambuzi shikamoo
  10. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

    Love becloud reasoning. Ungekuwa huna team km mimi nadhani hili lilikuwa jepesi sana, tatizo mnachanganya mahaba katika kuanalyze mambo. Kwa namna alivyoongea bwana Tupogo na alivyoongea Mr. Madale ndo inaleta picha husika. Inawezekana ana mema mengi ila kwa hili acheni tu kinachoonekana...
  11. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

    Dada yangu hebu weka akiba ya maneno kidogo basi, anakwambia kwa Davido yeye alkuwa anatoa dola 3000 mkubwa katoa elfu tano hapo definitely huyu bwana thamani imepanda, sasa unajua vipi kama ile ndo ilkuwa senti yake ya mwisho?? Na it seems kama mwana he knew this... Hapa lazma hata km ni ww...
  12. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    Sorry kk yaelekea hatukuelewana, uliandika as if unasapoti kuwa hakuwepo nchini ilhali alkuwepo studio na Richie siku husika
  13. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    Kama hukusikiliza bora ukakaa kimya, au kama hukuelewa ni vema ukauliza kwanza. Haya mambo ya team yanawafanya watu wazima wanabehave km mazuzu ama watoto. Acheni kudhalilisha uwezo wenu wa kureason sometimes. Hakuna ulazma wa kuchangia kila uzi. Mingine baki kuwa msomaji tu km unahisi neno...
  14. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji1] [emoji1] Mzungu sio mtu wa mchezo mchezo
  15. Mkwaju Wa dawa

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri Peleka Jeshi Shinyanga. Wananchi wako Wanauawa kila siku

    Simba Sports club MNYAMAA [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom