Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

Wakenya bana kwani tunaongelea hela hapa ? Sawa anapesa kumshinda Uhuru na Ruto
Umefurahi sasa ?
Kwani walienda kwa mashindano kupigania upendo???

Smh hyo ni hela ameenda kutafuta na endorsement kama za victoria model

Wewe niambie Kati ya Miss Tanzania kwenye Kanda

Na miss Kenya
Hapa
1482439621316.jpg

Victoria secrets zikija kuwapa interview Unaona Nani atashinda???

The bitter loser or The humble winner ???
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Aliempa kibali kwenda huko nani? Mtaishia kusema wakenya wakenya cheki anavoongea tu unajua hakufaa hata kuwa miss loliondo#
Kwanza tusikimbilie kwenda kuwalaumu wakenya hapa hakuna ushahidi wowote so far kaongea yeye tu hao wengine aliowataja bado hawajasema kitu.asitugombanishe na wakenya bure wakati ushahidi haujatolewa tusije onekana wajinga jamani.cha pili angalieni hiyo make up hapo hao waliompeleka wafukuzwe ili makosa kama haya yasijirudie!
 
Miss machakos County ako sawa kuliko miss TANZANIA WORLD...

Miss Machakos County Kenya world
Nairobi City photoshoot

View attachment 449330View attachment 449331View attachment 449332View attachment 449333View attachment 449334View attachment 449335View attachment 449336

Mi tanzania Majungu kila korna Kenya sio adui wenu nyie wenyewe ndio maadui wenu

If kenyans have made it mpaka washington DC ku valisha ma miss-es Mbona wasifanye chao
What's so special bout her that u find so appraising

Mosquito legs , a body full of bones na sura ndefu km karai...is that what you call beauty ama nimaphotoshoot ya studio yanakudanganya

The best thing Kenyan ladies can offer in terms of beauty is big forehead
2343ec8a548edd7c97c4ffcfc06a8974.jpg
 
Nikiangaliaga wanawake wanaosifiwa kuwa wazuri na Wakenya huwa nachoka kabisa...sasa huyu "zombie''si sawa na wale kina dada wanaoujiuza pale kimboka ambao wamechoka kwa maisha ya tabu na uvutaji sigara!
 
What's so special bout her that u find so appraising

Mosquito legs , a body full of bones na sura ndefu km karai...is that what you call beauty ama nimaphotoshoot ya studio yanakudanganya

The best thing Kenyan ladies can offer in terms of beauty is big forehead
2343ec8a548edd7c97c4ffcfc06a8974.jpg
Angalia hao wanawake anaowaposti kwa mbwembwe nyingi wana sura mbaya(kwa standard za TZ).Kweli Kenya kuna wanawake wabaya ikiwa hao ndio wakali wao.
 
Jamani tuwe wakweli...
"Huyu dada alipitishwa kwa vigezo gn kuwa miss Tanzania?"
Maana bora hata ya mke wangu
 
Kila siku wakenya wakenya.. na wao wanalalamikaga watz watz? Ushindi wowote ni mbinu, kubali matokeo achana na vji7bu 7bab
 
Hivi unavalishwaje mavazi na Designer usiyemfahamu? Hakupata wa kutoka naye Tz?

Pili ilishindikanaje yeye kwenda kutetea idea yake kama alisikia mwenzake kadanganya?

Siku zote Watanzania tunadhulumiwa/kutapeliwa/kuibiwa kwa sababu ya kumuamini MTU yeyote kirahisi (Trust).
 
Mbali na kuibiwa ila huyu hakustahili hata kuwa Miss Tz. Inawezekana kweli hilo suala la kuibiwa idea ni sawa lakini naamini tukiacha maigizo na kuwa wahalisia tu hakuna namna huyu angeweza fanya vema huko kwa sababu hata hapa nyumbani ushindi wake kama ulikuwa wa ujanjaujanja flani hivi...
[HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] World kwa kipindi hiki Watanzania nadhani tulipeleka na bidhaa mbovu zaidi, hivyo kutouzika sio suala la kushangaza
 
Back
Top Bottom