Recent content by mkuyati

  1. M

    Nikisomea Kilimo nitatoka kwa maisha ya sasa?

    samahani wakubwa zangu alikuwa naomben ushauri wenu juu ya hii kozi ya record menagement nataka kusoma ngazi ya cheti mpaka diploma sasa eti hii kozi upatikanaji wake wa ajira ukoje ,,natanguliza shukrani
  2. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Hapana huwezi kusoma nursing kama hujafaulu au hujasoma physics
  3. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Duuh sas hapo ni pamoja na chakula au kwani si walisema wote watakaochaguliwa vyuo vya gvt chakula wanajitegemea ss mm nilitumaini ada itapungua sana ila kumbe ni vile vile tuu
  4. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Hv kaka ww kwenye joining yako umeandikiwa ada ni sh ngapi ?
  5. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Kwahy kesho ndio watapata jibu kamili kuwa ada itakuwa sh ngapi kwa mwaka huu
  6. M

    Under NACTE mbona hatuthaminiki

    Daah kaka ina maana hiyo laki6 ndio ada ya mafunzo kwa mwaka au na ni vyuo vya serikali tuu au hadi private
  7. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Plz ustadhi kama una namba za machame school of nursing naomba unipatie kwani nina ndugu yangu kachaguliwa huko na mpaka ss hajapata joining ya chuo hicho
  8. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Kka zangu hembu naombeni na mm muniwekee masomo ya nursing kwa ngazi ya cheti jamani ili niyajue mapema
  9. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Pia ustadhi naomba msaada wako tena san juu ya hiki kak alikuwa naomba muongozo wa masomo ya kozi ya nursing kwa ngazi ya cheti alikuwa naomba unitajie hayo masomo tuu kak yaan nitashukuru sana ndugu yangu
  10. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Ustadhi na vp hukusikia kuwa kwa ss tuliochaguliwa vyuo vya serikali tutatumiwa joining instruction lini
  11. M

    Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Dah hongera sana kwako ustadhi ila naomba unipe muongozo kwa mtu ambaye kachaguliwa chuo cha serikali kwa kozi ya nursing akitaka kusoma day hv ada yake itakuwa kama kiasi gani vile
  12. M

    Inawahusi hii kwa wale waliomba kupitia NACTE 2015/16

    Ukiona mwanzo reset choice ilikuwepo na sas hv haipo ujue nacte tayr wameshakupangia chuo so wanangojea ile siku ya deadline ifike then jumatatu wanayaachia ila kwa mtu ambaye mpaka sas reset choise ipo ujue bado hajachaguliwa na mm namshauli aweke vyuo vingine ila msioge wote ambao reset choise...
  13. M

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    jaman mm hembu naombeni munisaidie hv ule mfumo wa kuconfirm kila wakati mbona haufunguki tena jaman then kuna watu wengine pia hawajaconfirm kule ss sijui itakuaje ..help me
  14. M

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Jamaa huu mfumo wao nacte wakucomfirm kila mda sas hv haufunguki nahs wanalekebisha mambo yao kwani sio kila mda mtu aconfirm tuu
  15. M

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Ndio hata sio ww tu hadi sisi huku mara ya kwanza tuliingia na tukaconfirm na tukatumiwa huo ujumbe ila cha kushangaza kila unapotaka kuingia kuangalia tena jina lako unaambiwa ukocomfirm tena yaan hat sielewi hapo nilijua kama ni mara moja ni bas yan hata mda mwingin ukiingia huambiwi tena ila...
Back
Top Bottom