Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Samahani me nimechaguliwa nursing real sipend nersing napenda clinical offcer mzee wang ana niambia kama naweza kupata chuo cha serikali chenye c o ndio nimwambie bt bila hvyo niende nersing tuu hebu ni shaurini

AMO TRAINING CENTRE TANGA . wanatoa course ya Clinical officer na ni GVT.my no 0753440127
 
machame ada ni ndefu sana mil 4.

mvumi clinical officers,tanzania training for internation health ifakara,gisan college of health and allied science mwanza ulizia na hv mdg wang unaweza ukapata nafasi
 
Plz ustadhi kama una namba za machame school of nursing naomba unipatie kwani nina ndugu yangu kachaguliwa huko na mpaka ss hajapata joining ya chuo hicho
 
iko cha Tanzania training center for international health ndio nilichaguliwa na nacte diploma in clinical medicine lakini uongozi wa chuo wakaniambia kuwa hawatoi diploma wala certificate ila wanachukua wanafunz wa AMO assistant medical officer tu.
na ninataka nipate chuo kizuri mf st Augustine institute of health or sengerema training center for clinical officer tu sababu nina pass marks nzuri tu sio za kuunga unga
 
tafuta mawasiliano yao haraka coz siku zinazid kwenda
 
iko cha Tanzania training center for international health ndio nilichaguliwa na nacte diploma in clinical medicine lakini uongozi wa chuo wakaniambia kuwa hawatoi diploma wala certificate ila wanachukua wanafunz wa AMO assistant medical officer tu.
na ninataka nipate chuo kizuri mf st Augustine institute of health or sengerema training center for clinical officer tu sababu nina pass marks nzuri tu sio za kuunga unga

now ukiwa na passmarks za kuunga unga vyuo vya afya utavisikia kwenye bomba..hapo st augustine ada ni shl ngap per year?
 
Madogo mkasome.. Sisi tuli disco afya tukaenda uchumi saivi Ni wahadhiri
 
Ivi mtu akiwa hajachaguliwa ataachwa kwenye mataa tu bila kua notified au???...msaada apo tafadhali
 
Wale wote tunaolekea kuwa watumishi wa kada za afya tukutane hapa tujadili mambo muhimu kuhusu taaluma zetu za afya.
Ile thread yetu ya post za vyuo vya afya imefungiwa nikaona tuendelee kwa kujuzana taarifa muhimu kuhusu kada hii muhimu katika jamii.
Ustadhi nisaidie
kuna mdogo wangu kwa Baba mdogo kapata 2nd selection huko Mvumi Dodoma Nursing
naona anaogopa kujiunga
na sijajuatatizo naomba nisaidie
  • Ada inalipwaje na ni kiasi gani
  • km Hosteli imejaa wanaruhusu kupanga mitaani
  • na watapokea ada kwa awamu?
Naomba ushauri wakoili niwashauri maana wanaonelea kusubiri mwakani Vyuo vya Serikali na bahati hii naona haiwezi jirudia
 
oi wataalamu cku ya kuripoti rasmi chuon lindi cotc ni lini?maana nacte wasema 9 wa 11 sasa cku ya mwisho kupokea itakuwa lini?msaada wadau
 
Sorry Wadau! Kuna mdogo wangu alipata ufaulu wa Four ya 27 huku akipata D flat ya masomo ya Science na amepelekwa SENGEREMA SCHOOL OF NURSING, Jamani anayekifahamu chuo hiki anijuze

-College fee pa1 na mambo mengine
 
Ustadhi nisaidie
kuna mdogo wangu kwa Baba mdogo kapata 2nd selection huko Mvumi Dodoma Nursing
naona anaogopa kujiunga
na sijajuatatizo naomba nisaidie
  • Ada inalipwaje na ni kiasi gani
  • km Hosteli imejaa wanaruhusu kupanga mitaani
  • na watapokea ada kwa awamu?
Naomba ushauri wakoili niwashauri maana wanaonelea kusubiri mwakani Vyuo vya Serikali na bahati hii naona haiwezi jirudia

Ada Hulipwa kwa awamu 4 kwa mwaka , mwanafunzi anaruhusiwa kupanga chumba hata kama hostel hazijaa
MVUMI SCHOOL OF NURSING
institution detail:REG\HAS\011
Ownership:FBO (Faith Based Organization)
Region :dodoma
District:dodoma Municipal Council Fixed Phone 0768 397123
Phone:0768 397123
Adress😛.O.BOX 60 DODOMA
Email:mvumints@yahoo.com
PROGRAMME OFFERED BY THIS INSTITUTION
Ordinary Diploma In Nursing (Nta Level 6)
Technician Certificate In Nursing (Nta Level 5)
Basic Technician Certificate In Community Health (Nta Level 4)...
Kwa Maelezo Zaidi Kuhusu Hicho Chuo Piga Hizo Namba Juu
 
Plz ustadhi kama una namba za machame school of nursing naomba unipatie kwani nina ndugu yangu kachaguliwa huko na mpaka ss hajapata joining ya chuo hicho

MACHAME SCHOOL OF NURSING
Ownership😛rivate
Region:kilimanjaro
District:hai
District Council Fixed Phone 0754 574760
0658 574760
Phone 0754574760
0658574760
Adress😛.O.BOX 3044 MOSHI
Email:brendakitali@yahoo.Com
PROGRAMME OFFERED BY THIS INSTITUTION
Ordinary Diploma In Nursing (Nta Level 6)
Technician Certificate In Nursing (Nta Level 5)..Namba Hzo Hapo Mkuu Wapigie
 
Back
Top Bottom