Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Wakuu naomba msaada wenu wapi nitapata taasisi inayokopesha fedha kwa maswala ya elimu hasa diploma jaman nimepata nafasi ya chuo nikiwa niko katika hali mbaya ya kiuchumi msaada plz
 
Mm nime apply Degree mwishoni nikabadilisha faculty wameniambia nimekosa sijui tatizo lilikuwa kubadilisha ama nn?msaada plz
 
Fanya umchek DMO wa wilaya ambapo chuo ulichochaguliwa kipo huwa kuna program kama Mkapa foundation au Nyerere foundation huwa wanasomesha af then kaz utapangiwa ktk wilaya hiyo hiyo
 
Wakuu naomba msaada wenu wapi nitapata taasisi inayokopesha fedha kwa maswala ya elimu hasa diploma jaman nimepata nafasi ya chuo nikiwa niko katika hali mbaya ya kiuchumi msaada plz

kwenye ofisa za wilaya huwa kuna fungu maalumu kwa ajili ya kuhelp student
 
Samahan ustath juma kama uko wilaya tofauti na chuo kilipo unaombea kwenye wilaya yako au ni wilaya ambayo chuo kinapatikana
 
Samahan ustathijuma kama uko wilaya tofauti na chuo kilipo unaombea kwenye wilaya yako au ni wilaya ambayo chuo kinapatikana
 
Wakuu naomba mnisaidie nimechaguliwa Diploma ya lab tec naweza badili kwenda C.O

unaweza kubadili ndio lakini unatakiwa kuhakikisha kwamba chuo unachohamia kinatoa hyo coz ya CO na pia je UFAULU wako unakuwezesha kuomba hyo coz? kama jibu ni ndio basi unaweza
 
oya kuna.mtu aliyechagua tumain universt makumira mbeya health community
 
Kwa wale wa c.o tupieni # zenu nweze kuwa add kwny group la watsup
Linalousiana na kudscus maswali magm ya course km anatomy pia microbiology nazingne nyng kutoka kwa makada was afya kutoka seven mblmbl pia hta idara ya lab tech, comnt health ,pia teachearz ili tuweze kua wafnyakaz profsnal katka kada mblmbl
 
Apply Kam College Au Paradigms Kwa Direct Admission Then Chuo Kitapeleka Jina Lako Nacte But Ukiwawekea Manani Hao Nacte Utaumia Sana Kichwa
Yaani NACTE sio kuumia tu kichwa kinaweza pasuka kabisa, maana mimi naugulia maumivu tu hata sijui cha kufanya.
 
Tuio chaguliwa nursing (certifcacte na diploma)...eeka watsap namba yako nkuad kwa grup tudiscuss
 
Jaman ntawezaj kuangalia matokeo ya mtihan wa nursing walio fany mwaka huu mwez wa 8 nackia yametoka?
 
Back
Top Bottom