mi mshahara wake sifahamu but uzuri ni kwamba ukianza na community health then baadae ukajiendeleza na kuwa nesi
Dah hongera sana kwako ustadhi ila naomba unipe muongozo kwa mtu ambaye kachaguliwa chuo cha serikali kwa kozi ya nursing akitaka kusoma day hv ada yake itakuwa kama kiasi gani vile