Nikisomea Kilimo nitatoka kwa maisha ya sasa?

Nikisomea Kilimo nitatoka kwa maisha ya sasa?

somea upishi,unalipa sana sahivi chips kavu buku jex mpk buku bee
 
Thnx animal health inakuaje thn vyuo vyake ni vipi

Unapomuuliza mtu basi uwe una m-Quote ili ajue km anahitajika huku, kuhusu vyuo vya afya ya wanyama, kuna vya serikali na private, vya serikali vinaitwa LITA, yani LIVESTOCK TRAINING AGENCY, hv vinapatikana mikoa mingi km, morogoro, tanga,arusha,mwanza,bukoba,dodoma na songea...! ila hawa intake wanachukua mwezi wa 8-9 hivo kwa sasa utakuwa umechelewa, sina ujuzi sana na vyuo vya private ila nakifahamu kimoja kipo bagamoyo kinaitwa kaole, hawa intake yao naskia waga wanachukua Mara mbili kwa mwaka, ila me najua intake ya mwez wa 3-4
 
bila science huku ni shiidaa sio rahsi mnavyofikiri itakusumbua xana
 
samahani wakubwa zangu alikuwa naomben ushauri wenu juu ya hii kozi ya record menagement nataka kusoma ngazi ya cheti mpaka diploma sasa eti hii kozi upatikanaji wake wa ajira ukoje ,,natanguliza shukrani
 
acha ndoto mdogo wangu cc tumesoma CBA lkn tumekosa course za agriculture af we na HGE yako unataka kujiingiza ktk competition labda usome rular DVT sua
 
Nataka nisomee degree thn nakijua cha sokoine Morogoro

pia university of dar es salaam wanatoa course za agriculture kama vile agriculture natural resources economics and business na agricultural engineering sana kwa waloisoma sayansi au hge na Egm
 
samahani wakubwa zangu alikuwa naomben ushauri wenu juu ya hii kozi ya record menagement nataka kusoma ngazi ya cheti mpaka diploma sasa eti hii kozi upatikanaji wake wa ajira ukoje ,,natanguliza shukrani

Sometimes upatikanaji wa ajira unategemea na aina ya watu wanaokuzunguka, yani km familia au family friends ni watu wa mishe mishe za mjini hasa mamb ya ajira hpo unaweza kusoma hyo course lasivyo mamb yatakuwa magumu, me nina ushuuda mmja wa bro flani alisoma hyo kitu kwa ngazi ya diploma alikaa mtaani miaka 4 bila mafanikio, mwaka huu ameamua kwenda kuanza kusoma nursing ngazi ya cheti, rabda km wewe ni ke kidogo utawashawishi watu
 
Habari zenu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita HGK naweza kuchukua agriculture niendapo chuo na je bado agriculture inasoko nchini

HGK vs Agriculture haviendani kabiiiiiisa.
 
nyie ndo magufuli anawatafta kuwasweka rumande unashndwa kuwaza usomeje ufaulu hyo hgk unawaza agriculture ije kukutoa ndugu mianya ya upgaj imeanza kutumbuliwa angalia usije kua jipu
 
Kwa kombi hiyo huwezi Pata chuo cha kilimo labda tumia cheti cha O level ukasome ngazi ya cheti vyuo vya (Mati au Liti) waweza search Mati uyole, ilonga, tumbi au Liti morogoro, mpwapwa utapata maerezo yote.
 
Back
Top Bottom