Kawalala93
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 400
- 1,587
Hv kaka ww kwenye joining yako umeandikiwa ada ni sh ngapi ?
1,070,400 kwa bweni
Hv kaka ww kwenye joining yako umeandikiwa ada ni sh ngapi ?
Wale wote tunaolekea kuwa watumishi wa kada za afya tukutane hapa tujadili mambo muhimu kuhusu taaluma zetu za afya.
Ile thread yetu ya post za vyuo vya afya imefungiwa nikaona tuendelee kwa kujuzana taarifa muhimu kuhusu kada hii muhimu katika jamii.
1,070,400 kwa bweni
aliomba kupitia nacte au aliomba chuoni direct? kama aliomba kupitia nacte mwambie aangalie profile yake kwanza ina update zipi
Jmn wadau ebu nixaidieni kw hili. kama ukxoma certficate ya CO kwa 2 yr,then ukiend kchkua diplma ni 3 total yke n 5 yr
Aliomba kupitia nacte kiongozi
Yeye yuko nyuma sana kwa haya mambo ya mtandao kiongozi
Plz help me anakosa aman dogo
nitumie email yake na password alizotumiwa na nacte ....nitumie kwa sms via my phone number yangu 0653 564 080
second selection watatoa kweli
Duuh sas hapo ni pamoja na chakula au kwani si walisema wote watakaochaguliwa vyuo vya gvt chakula wanajitegemea ss mm nilitumaini ada itapungua sana ila kumbe ni vile vile tuu