kipusi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 443
- 75
poa kipusi
poa seleboy
poa kipusi
View attachment 297928 jamani mi naona hivyo na hakuna hizo updates/remove, niendelee kusubiri au? 😢😢
Nikutie moyo watakuchagua tu ndugu wanafanya kwa hawamu tofauti tofauti
Najaribu kulogin inaniletea profile ya mtu tofauti jamani
Dah mkuu hapo hakuna uwezekano wa kuchaguliwa kka badilisha hiyo yenye capacity kubwa ndio iwe first kka
philipo.co ulienda physically ofisini au imebadilika yenyewe tu
View attachment 297928 jamani mi naona hivyo na hakuna hizo updates/remove, niendelee kusubiri au? 😢😢
Na kama NACTE umechaguliwa tayar ila jina hujaliona kwenye chuo husika inakuwaje?
Oky. Shukran
Ata matokeoo tu ya ualimu shule za msingi na sekondari baado nakumbuka watu wanataka wajipange kulipa laki 6 wenyewe hawawazii kabisaa yaani,,,,,
Nacte nao bwana, yani utadhani application tulifanya bure. wanakera sio siri. hizo post si mtoe tu
Zungumza vizuri mkuu maana wengine profile zao zinasoma SELECTED