Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Oya sasa Jembekilo weka namba yako ambayo iko active tuongee
 
Hivi wakuu naomba kufahamishwa. Nina mdogo wangu amemaliza certificate ya nursing na anataka kujiendeleza kwa level ya diploma. Alikuwa bado hajaapply. Nimeona muda umeongezwa hadi tarehe 16 October. Nataka aapply ila sijui taratibu zao ziko vip hasa kwa anayejiendeleza kwa level 5 & 6 NTA
 
wadau haya makoti ya kidaktari (clinical coats) kwa dar es salaam yanapatikana wapi?
 
karibuni sana ndugu zangu...kwa wale wa clinical medicine first semister mtakula kitabu cha Anatomy na physilogy hii ngoma sio mchezo ikiwa umechaguluwa Shule ngumu na mkipata mwalimu complicater wa hili somo nishida lakini anatomy first semister sio taiti ukilinganisha na ile second semister vilevile kuna mnyama mwengine Anaitwa PATHOLOGY nae huyu jamaa mtata sana ila mkiwa na doctor mzuli akamipigia Shule vizuri unasoma hadi moyo unapenda! Kuna jamaa mwingine Anaitwa MICROBIOLOGY AND ENTOMOLGY jamaa huyu ni mtata nae ila sio sana jamaa wengine na wakawaida hawatishi wala nini maana wamekaa kisiasa nao ni ENVIRONMENTAL HEALTH,COMMONICATION SKILLS AND COUNCELLING..
Angalizo ndugu zangu mkifika mpige Shule muache mzaha maana Mambo sio lelemama..na uzuri wa hii kozi Kama utakuwa serious na kusoma basi utakuwa unafaulu kwa kiwango cha juu lakini ukiwa shallow alafu upo kwenye chuo kigumu safari ya nyumbani ni mapema sana wenzio wanakuaga.... Kwa walio chaguliwa Mvumi cotc karibuni sana Maana ni chuo kizuri sana
 
samahan kaka zangu hvi anae jua vizuri chuo cha AMO TRAINING CENTRE TANGA.kinafundusha vzur au msaaada wenu
 
mkuu bronchitis semister ya kwanza huwa na masomo mangapi?
 
karibuni sana ndugu zangu...kwa wale wa clinical medicine first semister mtakula kitabu cha Anatomy na physilogy hii ngoma sio mchezo ikiwa umechaguluwa Shule ngumu na mkipata mwalimu complicater wa hili somo nishida lakini anatomy first semister sio taiti ukilinganisha na ile second semister vilevile kuna mnyama mwengine Anaitwa PATHOLOGY nae huyu jamaa mtata sana ila mkiwa na doctor mzuli akamipigia Shule vizuri unasoma hadi moyo unapenda! Kuna jamaa mwingine Anaitwa MICROBIOLOGY AND ENTOMOLGY jamaa huyu ni mtata nae ila sio sana jamaa wengine na wakawaida hawatishi wala nini maana wamekaa kisiasa nao ni ENVIRONMENTAL HEALTH,COMMONICATION SKILLS AND COUNCELLING..
Angalizo ndugu zangu mkifika mpige Shule muache mzaha maana Mambo sio lelemama..na uzuri wa hii kozi Kama utakuwa serious na kusoma basi utakuwa unafaulu kwa kiwango cha juu lakini ukiwa shallow alafu upo kwenye chuo kigumu safari ya nyumbani ni mapema sana wenzio wanakuaga.... Kwa walio chaguliwa Mvumi cotc karibuni sana Maana ni chuo kizuri sana

Tena mkuu kama kwenye pathology ukituma tcha complicator yaan anatunga paper ngum semister huwa hainogi kabisa.. Supp itakuhusu saaana. Microbiology ni full kumeza vijidudu vile..... Daaah,
 
Kka zangu hembu naombeni na mm muniwekee masomo ya nursing kwa ngazi ya cheti jamani ili niyajue mapema
 
Back
Top Bottom