Recent content by MkuuXyz

  1. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Tunapeleka barua ya uchumba Iringa tusaidieni tunatakiwa kufanya nini?

    Nikushukuru Kamanda kwa kuchukua muda wako Kumjibu huyo dogo aliyetaka Ushauri, Sometimes watu hapa JF wanakosea sana, Mtu anaomba ushauri wa maana kabisa lakini wadau wanaanza kuleta jokes na matusi, Tujirekebishe wakuu, na mimi ni mmojawapo, Tuangalie kama topic inafaa jokes na light matusi...
  2. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume tu

    Ningechangia lakini nilipoona tu kuwa umetumia neno " TUJUZANE " am OUT. Ya Wazenji nawaachia Wazenji, Mimi siyo Fruitcake nianze kuchangia mada zenye maneno kama " TUJUZANE " halafu unasema hii topic ni kwa " WANAUME TU " Badili Heading isome " ONLY FRUITCAKES "
  3. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    Watu Wenye Akili za Panya Bwana, Hata waelimishwe Vipi, Huwa hawaelewi, Tazito Siyo Mifumo Kusomana, Tatizo ni Chama Cha siasa Kuwa na Acces Kwenye sensitive data. Usipotoshe watu kwa mifano yako ya kipumbavu, Hakuna Tatizo Kwa NIDA Kuwa Linked na CRDB au TRA whatever mifano uliyotoa hapo juu...
  4. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wawazi tu, hivi bwana harusi hapa amelenga nini kuuoa mmoja wa mapacha walioungana?

    Who gives A F#%&@ck , Kuna mambo ya msingi yanalolikabili Taifa na Vojana wa Leo na Kesho Halafu wewe unatuletea upuuzi huu....Lete story za Nymbani, Story za Afrika , Story zinazotuhusu sisi Waafrica.
  5. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Hawaichukii STARS bali NI ULIMBUKENI wa KUWAFAGILIA WAARABU/WAARABU LOOKLIKE
  6. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna Wakenya hapa tujadili football kidogo

    Wakenya wajui hii sentence yako,
  7. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna Wakenya hapa tujadili football kidogo

    Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman , Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze Kukudinyeni...
  8. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Je Arusha Mbu wa Maralia wapo ?
  9. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Duh- Mbona Arusha/Moshi Kuna Baridi na Hakuna Mbu wengi kama Dar na Dar Kuna Joto ?
  10. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke. Asanteni wadau.
  11. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

    Yes Indeed, kwasababu ya IGNORANCE
  12. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Dont be a C@$^#&nt, NIDA ni DATA, na DATA = EVERYTHING, DATA=MONEY, DATA=THE GOLD OF TODAY. Ukishakuwa na DATA Unaweza kufanya Chochote, Ukaongeza , toa, jumlisha, zidisha, Hayo Makaratasi yanayohesabiwa kwenye Vituo ni kwa ajili ya Wananchi wa kawaida kama wewe, wanaoamini lolote...
  13. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Polepole kapigwa sapana?

    Hakuna News
  14. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

    Kwasababu WAARABU NI WASHENZI, WABAGUZI, worst than any HUMAN YOU CAN IMAGINE. Mzungu alitutawala na kuhusika na biashara za utumwa lakini leo hii mzungu kujirekebisha, ( atleast ) anatukaribisha Ulaya, tunapata kazi , tunaoa wazungu, tunahaki ya uraia kwenye nchi zao, LAKINI MUARABU ...
  15. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Polepole kapigwa sapana?

    Share link kuelekea habari TV
Back
Top Bottom