Kuna siku nilijichanganya nilikuwa hoi nasinzia nikakosea kutuma sms badala ya kumtumia aisha nikatuma kwa Ally, usingizi ulikata wote jamaa alipiga hapo hapo ila alinielewa maelezo yangu.
Nilishakosea tena kwa ke wangu, nilimuita Gift nilikuwa nachat na Gift pia, akashtuka akapiga simu kulalama nikamwambia '"you are my gift from God, very precious gift" wala sijakosea chochote kesi ikaishia hapo.
Ila ile ya kumtaja ke mwingine jina mchezoni ndio ilizika penzi jumla.
Pole sana mku.Yalishapita mkuuPole sana mku.
Ningechangia lakini nilipoona tu kuwa umetumia neno " TUJUZANE " am OUT. Ya Wazenji nawaachia Wazenji, Mimi siyo Fruitcake nianze kuchangia mada zenye maneno kama " TUJUZANE " halafu unasema hii topic ni kwa " WANAUME TU "Wakuu,tupeane vesi za kujinasua katika wakati mgumu.
Hivi umewai kuchati na madem wawili kwa wakati mmoja,alafu ukakosea ukachanganya msg ya Dem A ukamtumia B.
Alafu msg yenyewe ikawa ngumungumu kidog, duuh!.
Tujuzane humu jinsi ya kufix hasira za hawawatu,nina missing call 60 ndani ya dakika 20.
Kila stori ninayotaka kuiunganisha na hii msj apa Ili ionekane kwamba nilimtumia yeye inabuma naona ntazidi kuharibu.
Your not out mkuu, umesha changia kwa namnayako na unaheshimiwa kwa kutumia uhuruwako wa kuamua kusema unacho taka.Ningechangia lakini nilipoona tu kuwa umetumia neno " TUJUZANE " am OUT. Ya Wazenji nawaachia Wazenji, Mimi siyo Fruitcake nianze kuchangia mada zenye maneno kama " TUJUZANE " halafu unasema hii topic ni kwa " WANAUME TU "
Badili Heading isome " ONLY FRUITCAKES "
Kupupu ,kula ,kulala na kuwaza ujinga, mtoto kamaliza.Utoto raha sana.
Hiyo ya pili hakika ulimpanga akapangika😂Kuna siku nilijichanganya nilikuwa hoi nasinzia nikakosea kutuma sms badala ya kumtumia aisha nikatuma kwa Ally, usingizi ulikata wote jamaa alipiga hapo hapo ila alinielewa maelezo yangu.
Nilishakosea tena kwa ke wangu, nilimuita Gift nilikuwa nachat na Gift pia, akashtuka akapiga simu kulalama nikamwambia '"you are my gift from God, very precious gift" wala sijakosea chochote kesi ikaishia hapo.
Ila ile ya kumtaja ke mwingine jina mchezoni ndio ilizika penzi jumla.
Na kweli,. Utoto raha SanaUtoto raha sana.
Nishawahi mtaja Esther badala ya Rachel wakat wa mnyukano kesi ilikuwa ngumu sana japo nilikuwa karibu kukochoa ndo ivo tena tukakaa kikao cha ghafla ku solve kwanza.
Nilishikilia msimamo mimi nishakuambia nikuite Esther hutaki wakati ndo jina napenda!!

Uli sort out kibabe sana mkuu. 
😃😃😃Hii imenitokea jana tu wakat nachat na Demu wangu wakat huohuo nlkuwa natuma token ya Umeme kwa Mama mwenye Nyumba mind you ni mtu mzima kuliko Baba angu mzazi kidogo
Sms ilikuwa inasema Nakupenda sana Mama sema hujui Tu
Nimeuchuna na Yeye kauchuna Maisha yanaendelea safi tu

Ukiwa na helaHela haina mana kama huna mpenzi mkuu.