Polepole kapigwa sapana?

Polepole kapigwa sapana?

Hajaanza kuongea na sidhani kama ni tatizo la kukatiwa switch. Nasikia kuna mkubwa mmoja amemwangukia na kumwomba sana sana asiongee. Hili sina uhakika nalo lakini nimesikia mtu anazungumzia tangu mchana.
Kumbe ndio maana yupo kimya
 
Hajaanza kuongea na sidhani kama ni tatizo la kukatiwa switch. Nasikia kuna mkubwa mmoja amemwangukia na kumwomba sana sana asiongee. Hili sina uhakika nalo lakini nimesikia mtu anazungumzia tangu mchana.
Alipofikia ni Point of No Return.
Amevuka Point of Go Or No Go.
Hasiposema yale aliyotishia lazima atauw@w@ na adui zake.
Alipofikia salama yake ni kusema ukweli, kuweka zama mpya na kuuwa kabisa nguvu za wana mtandao. Kuondoa utawala wa CCM na kuvijenga vyama vipya.
Yasipotia haya hakika nakuambia Polepole hataishi zaidi ya miaka 5 toka tarehe 20 August 2025.
Tunza hii post yangu uje uniulize kiko wapi endapo hatosema aliyo ahidi jana na akafika August 2031.
 
Hakika nakubaliana na wewe. Kikubwa anatambua yote hayo ulioainisha.
 
Siasa ni hesabu na leo ilikaa kamati kuu so mtu ana buy time all in all wafrika wa binafsi sana ndo maana ngozi nyeupe wameendelea sana Ubinafsi ndo unaleta mambo kuna watu wanaona wantaili kuzidi wengine
 
Back
Top Bottom