Recent content by MkuuMtarajiwa

  1. M

    Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

    Masuala ya Habari hayapo katika mambo ya muungano. Mjumbe namba (viii) Mkurugenzi wa habari idara ya Zanzibar anateuliwaje kuwa kwenye chombo/bodi ambayo haihusiki na mambo ya Muungano?
  2. M

    Hukumu ambayo haijawahi kutokea

    Nafikiri Mh. T.A. Lisu alikuwa anawazungumzia Majaji kama hawa, huu ni ushahidi tosha ikiwa Mh. F. Werema (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) ataendelea na dhamira yake ya kumshitaki Lisu. Soma mstari wa mwisho... "The plant is hereby rejected..........." Kumbe kazi mojawapo ya majaji ni kukataa...
  3. M

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Rais Kikwete alishawateua wabunge watatu kabla ya uteuzi huu wa leo. Wabunge ambao ameshawachagua ni; 1. Zakhia Megji 2. Makame Mbalawa (Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia) 3. Shamshi Vuai Naodha (Waziri wa Mambo ya Ndani)
  4. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    MATOKEO OFFICIAL: Kura halali - 60038 CHADEMA 32,972 - Joshua Nassari (Mbunge Mteule) CCM 26,757 - Siyoi Sumari Mh Edward N. Lowasa: Hapo vipi?
  5. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Mwanakijiji, Huo ndio uridhi vijana wa taifa hili wanauhitaji kutoka kwa watu kama ninyi wenye kulijua ili Taifa la Tanzania ni wapi lilipotoka na wapi LINAPASWA Kwenda
  6. M

    Chad President married the daughter of Janjaweed leader

    .....that's why some white people believes that African brains are not the same to theirs!!!!! The dowry.....?
  7. M

    Leo siku ya mlipakodi Tanzania

    Siku ya mlipa kodi inahazimishwa kwa sherehe inayofanyikia Movenpick/Serena hotel.....hakika ukistahajabu ya Musa utaona ya Firauni. Mtiririko huko hivi, ilianza Sheraton, Royal Pam, Movenpick na sasa ni Serena Hotel. Ubadirishaji wa haya majina umesemwa sana kuambatana na ukwepaji wa kodi na...
  8. M

  9. M

    Katiba mpya: Wakati muafaka wapinzani kuungana!

    William, CCM ni chama cha kisiasa na chenye changamoto zake ambazo zinahitaji watu we akili timamu kuzikabili. Ni majuzi tu mwanachama wake mmoja aliyekulia ktk hicho Chama amekiri option ya kutumia bunduki ikiwa mambo anayoyataka hayatafanyiwa kazi na Chama chake! Hiyo ni ishara kuwa hanguko...
  10. M

  11. M

    Seif Khatibu alipataje Uwaziri ?

    Labda ndiye aliyekuwa anaonekana kufaa zaidi kuliko wazanzibari wengine!
  12. M

    IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

    Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete Vs Idadi ya magari kabla na baada ya Kikwete Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete Vs Idadi ya wanafunzi kabla na Baada ya Kikwete Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete Vs idadi ya madarasa na vitendea kazi kabla na baada ya Kikwete Weka idadi ya...
  13. M

    Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

    Taso, Kuna vitu ukishakuwa kiongozi unapaswa kuvifanya wewe kama wewe na huitaji kupewa msaada na mtu mwingine. Kuna vitu ni aibu sana kupewa msaada kama nchi na kama kiongozi wa nchi, Vinakudhalilisha. Kwa mtazamo wako, ikitokea Mwanamume ana mnunulia CHUPI mkeo utafurahi kwasababu ujatumia...
  14. M

    Kwa Heshima ya Wananchi wa Dar, Meya Masaburi Ajiuzulu

    Ni siku kazaa sasa zimepita tangu Meya wa Jiji la Dar es Salaam kutoa kauli ya kuhudhi, kudhalilisha, kutukana na isiyo vumilika kwa wabunge wa mkoa wa Dar es Salaam. Sito thubutu kuiandika hapa jamvini ila nimejiuliza kama wabunge wetu tuliowachagua kwa njia ya kura wanaambiwa wanafikiri kwa...
Back
Top Bottom