William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #21
Ina maana hata kama wakifanya hayo mabadiliko bado ni lazima tu waungane?
Pili,nimekupata hapo pa kiogozi huyo kijana wa CCM aliyetaka kujiunga na CDM na kutaka kuwa mwenyekiti, however hilo peke yake lingeweza vipi kuondoa hayo matatizo ya ukanda na ufamilia?
Ama is there something else i am missing?
Ok Mwenyekiti Mbowe, Katibu Slaa, na Zitto naibu, mbona sioni ufamilia hapo?
Ama ni yale ya wabunge wa viti maalumu?
Ok,on the other hand,nia chombo gani chenye maamuzi ya juu kabisa cha CDM?
Na je ni nani member wa chombo hicho?
Kama una majina weka hapa,then we can go from there...
- According to huyu Kiongozi kijana wa CCM aliyeombwa (na let me make it very clear kwamba sio Mh. Nape) ni kwamba kwa mtizamo wake Ukaskazini ndio unaiumiza Chadema, kwa sababu katika siasa kuna kampeni za aina nyingi sana na mbaya kuliko zote ni ila ya Mlango to Mlango which CCM are very good at it na ndiyo iliyommaliza Gore, kwa kuwa na runningmate M-Jewish wananchi waliambiwa Gore akishinda Israel itaamuua kusudi runningmate wake awe Rais.
- Sio kazi yangu kuingilia mambo ya ndani ya Chadema, I am here to say kwamba kama Chadema hawaungani na Wapinzani wengine tutaumia sana hili taifa kwenye Katiba mpya na once it is done, we are dooomed hili taifa! na ni maoni yangu tu reading mchakato wa Katiba unavyokwenda sasa na hasa talking all the times na wahusika!
William @..NYC,USA: Le Baharia!