Kwa Heshima ya Wananchi wa Dar, Meya Masaburi Ajiuzulu

MkuuMtarajiwa

Member
Sep 7, 2010
57
10
Ni siku kazaa sasa zimepita tangu Meya wa Jiji la Dar es Salaam kutoa kauli ya kuhudhi, kudhalilisha, kutukana na isiyo vumilika kwa wabunge wa mkoa wa Dar es Salaam. Sito thubutu kuiandika hapa jamvini ila nimejiuliza kama wabunge wetu tuliowachagua kwa njia ya kura wanaambiwa wanafikiri kwa kutumia .........Je wapigakura wao kabla ya kwenda kupiga kura walikuwa wanafikiri kwa kutumia nini??? na sasa baada ya kuwaweka madarakani wanafikiri kwa kutumia nini?? Lakini ni lini atajifunza kuwa kumtukana kiongozi ni kuwatukana wale anaowaongoza?

Kwa kitendo cha kuwadhalilisha wabunge wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, nafikiri ni muda muafaka kwa wananchi kumwambia wazi wazi kuwa ametudhalilisha sisi wakazi wa Dar, na wapiga kura wa hawa wabunge. Amepoteza uhalali wa kukalia kiti cha Umeya katika jiji na mkoa alioudhalilisha. Kuwa kiongozi si madaraka na dhihaka, ni dhamana ni utumishi, ni wito, ni USHUHUDA wa Maisha yako na si maneno yako.

Kujibizana na wabunge kwa staili ya ukimwaga mboga mimi nitamwaga ugali tuliyoishuudia ni kielelezo tosha cha uongozi usiostahili kuwepo sehemu yoyote ile nchini, sembuse Dar, no i mean Kata ya kivukoni, oooohhhhh no (hivi ukulu ipo kata gani vile) na wapiga kura wa kata ya kivukoni mbunge wao ni nani vile, si ndiye yule Mh. Zungu. Aaaaakkkhhhhh naomba kuuliza, hivi mtu kama anaishi IKULU pale magogoni, Diwani wake ni nani vile na mbunge wake ni yupi???? soooorrrrryyyyy nimegafirika, Tafadhali FIKIRI na CHukua Hatua.
 
Asee nimefungua0 haraka hii uzi lakini............ Ntarudi badae napata kili moja kwanza
 
Kama mbunge wako uliyemchagua kwa heshima na taadhima anaambiwa kuwa anafikiri kwa kutumia makali............oooh! Je wewe mpiga kura ungeambiwa unafikiri kwa kutumia nini? Uki cross multiplication nadhani utapata jibu baya zaidi. Nawaonea huruma wapiga kura wao kwani wao ndio wametukanwa zaidi. Kama waliowachagua ambao wako smart zaidi ya wapiga kura wameambiwa wanafikiri kwa kutumia hiyo hiyo kitu,itakuwaje kwa mpiga kura? Kama muhogo mtamu umetendewa hivyo itakuwaje kwa muhogo mchungu?
 
Hizi ni saa za ukombozi kwani siku za 40 za wezi wote zinajulikana au kusemana wenyewe na tutaendeleza maombi ili Mungu avunje njia za shetani popote pale katika nchi yetu.
 
Masaburi is my star....amethubutu kusema lilo moyoni mwake!

Je wasioongea unadhani wanawaza nini?
 
labda ahamie COTWU NDIO ATAJIUZULU CCM AWAJUI HIYO ZANA YA KUIUZULU
 
kha mie nilijua amejiuzulu bana kweli umepotosha na post yako

Back
Top Bottom