Recent content by Mkuu2015

  1. M

    JamiiForums Tanzania TRA hii ni kodi au ni dhuluma?

    Hiyo kodi siyo burden kwako, inaitwa withholding tax, kwahyo wewe ni withholder, jukumju lako ni ku i withhold (kuizuia) kutoka kwenye pesa ya pango unayotakiwa kumlipa landlord wako, kwa mfano kama mkataba wa pango unasema ni laki nne utazuia 10% ya laki nne na utamlipa landlord TZS 360,000, na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto huchukua muda gani mpaka inaisha?

    Umenifungua ndugu, kweli ndoto zina maajabu yake! dk moja ya kidunia inaweza kuwa siku nzima ndotoni! means ulimwengu wa kifizikia tunaoishi una muda mwingi wa kufanya mambo mengi kama tunaweza elewa thamani ya muda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Alliens Invasion

    Heshima kwako mkuu, umeeleweka barabara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Alliens Invasion

    Sure, always mbelez, kiAfrica Africa halijasikika tukio hata moja la hawa viumbe! There must be some cinema behind to fool the rest of the world as they did on moon landing story. Hawa jamaa wana matumizi mabaya ya knoledge zao..
  5. M

    JamiiForums Tanzania LAPF wanaita oral interview Dodoma

    Acha kuwapa watu presha, bado hawajaita
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    don't worry, utapata tu, kuwa na imani, jitihada zako zitazaa matunda someday, usikate tamaa na punguzA stress, mama yako anakuombea and you have the bright future, believe me
  7. M

    JamiiForums Tanzania LAPF call for aptitude test

    Lengo kuvutia wengi waje kusoma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

    Mambo yamekuwa mengi! but you can go back to your childhood status only if u choose for a few minutes to throw away everything for a while
  9. M

    JamiiForums Tanzania LAPF call for aptitude test

    Habari! Nakumbuka zilitangazwa kazi kati ya mwezi machi na wa nne mwaka huu! yeyote aliye na taarifa za interview naomba atujuze..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    kweli sirikali, economics views za mishahara ya individuals wachache ni Income(saraly)=Consumption + Saving, individuals wengi Income=Consumption + Madeni, ila ya wakuu nadhani ni Income=Saving, means hawatumii yani wanasave mwanzo mwisho
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naombaufafanuzi kuhusu Workers' Compensation Fund (WCF)

    Sina hakika ila nadhani ni kama bima, not identical but simiral kwa bima ya afya ambayo ukistaafu bila kuumwa no mafao, so wcf ni faida kwa ulinzi wa mtumishi akiwa kazini, na 1 na 0.5 kama alivyosema mchangiaji hapo juu is not a big deal kama utapata majanga makubwa ukiwa kazini
  12. M

    JamiiForums Tanzania PPF Waanza kuita watu

    Wanaendelea kutuma meseji na kesho au ndo tuandike maumivu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Story behind your date of birth

    To prove you wrong Obama was born on 4th
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina Tshs milioni 10, nifanye biashara gani nipate faida?

    Haha! umenifurahisha mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania PPF; Nafasi walizotangaza wameanza kuita watu?

    ikishakwambia successful kuna email inatumwa kwenye email adress yako
Back
Top Bottom