PPF Waanza kuita watu

PPF Waanza kuita watu

Status
Not open for further replies.
vp mkuu wakati mnafanya usaili idadi ya watu mlioitwa ilikuwaje na kuna uwazi wa kutosha katika kuajiri ama kuna ukiritimba pia?
Kwa kutazama haraka idadi ya watu tulikuwa takriban 200 au zaidi. It sounded fair, ila huwezi kujua kama kulikuwa na fitna japo kuna kachero mmoja aliniambia waliamuwa kutumia taasisi nyingine kufanya recruitment ili kuwepo na fairness japo sijathibitishiwa hilo mkuu. Jiandae kama nilivyoshauri unaweza ukafanikiwa ukijiandaa vyema na kumtegemea Mungu.
 
Kwa mtakaoenda kwenye interview hakikisheni mnasoma taarifa muhimu kuhusu ppf kwenye website yao kama vision,mission, aina za mafao yatolewayo, what is ppf na mengineyo yapatikanayo kwenye website. Pia someni kuhusu mamlaka inayohusika na mifuko ya jamii SSRA, kazi zake na mifuko mingapi ya jamii iliyopo na kwanini ipo. General questions zinahusika pia so be well prepared. Nilishawahi kufanya hapo interview niakaangukia pua.
Nawasilisha
wewe ndio mtunzi wa mtihani au unajishahua tu???
 
Hawajabainisha na kutoa maelezo ya kutosha kama ni Oral au Written Interview!

"Ukishaitwa DUCE, U/wa Taifa, IFM, UDSM ujue written inahusika. Kwani ukumbi wa ofisi zao hauwezi kutosha kuwa - accomodate wote
 
Nimepata text message na E-mail pia kuniita kwenye interview ya Member Care Trainee.

Mungu na awe nasi. Amen.
 
Ni kweli kuna mahali nimesoma imeandikwa hivi " Ukikata tamaa hakuna mtu atakayekuangali lakini ukikata viuno watu kibao watakutolea macho". Hivyo keep on trying. Wanasema "Try and fail but never fail to try"

kweli kiongozi,
 
Kwa kutazama haraka idadi ya watu tulikuwa takriban 200 au zaidi. It sounded fair, ila huwezi kujua kama kulikuwa na fitna japo kuna kachero mmoja aliniambia waliamuwa kutumia taasisi nyingine kufanya recruitment ili kuwepo na fairness japo sijathibitishiwa hilo mkuu. Jiandae kama nilivyoshauri unaweza ukafanikiwa ukijiandaa vyema na kumtegemea Mungu.

Na calculations zinahusika au...tusaidie mkuu
 
Ni kwa post ya Contribution Trainee. Nimepokea sms. Wadau kaeni tayari mambo yameshaiva. Venue ni duce. Tarehe 6 june..

Mi niliomba post 2 nimetumiwa text ya ku-attend ya Contribution trainee Mwanangu Inno katumiwa zote mbili hadi Operation trainee kaitwa pia kiongozi
 
Mi niliomba post 2 nimetumiwa text ya ku-attend ya Contribution trainee Mwanangu Inno katumiwa zote mbili hadi Operation trainee kaitwa pia kiongozi

Inno ndo yup arifu?
 
Jaman nauliza watu wa marketing wameita wadau?maana me niliomba marketing officer ll
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom