mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
bado wanasahihisha
Wadau nimepokea simu jioni hii interview LAPF Dodoma Jumamosi, kaeni karibu na simu zenu!
bado oral kk, angalia usitapelliwe
Mie kuna jamaa yangu kaitwa Oral lakin kwenye written hakuitwa kabisa....hapa nashindwa kuelewa
Acha kuwapa watu presha, bado hawajaita
..kaka Raqeeb naomba utuwekee namba walizotumia kukupgia ..coz mm kuna namba nmekuta mis call jana lkn nkipga haipatkan..Kaka sio sote tulio humu JF tunapenda ku comment any things na nakusihi usipende kukurupuka coz ur interlecture kama sijakosea & always msomi hakurupuki!
Sikuleta hii topic kwa kufurahisha genge fuatilia comments zangu na topics zangu huwa ziko kisomi zaidi na mantiki sawa msomi mwenzangu umenipata!
Nasikufanya vibaya kuleta topic hii humu coz kuna waanga wenzangu ambao tuko kwenye gurudumu la kutafuta ajira nao lazima wapate informations!
oral interview ni jumamosi DODOMA then unavyofanya hivyo utafanya watu wengine washindwe kutupa updates coz wataonekana waongo napia hatuku apply LAPF tu ni sehemu nyingi na humu ndipo tunapoulizana updates!
..kaka Raqeeb naomba utuwekee namba walizotumia kukupgia ..coz mm kuna namba nmekuta mis call jana lkn nkipga haipatkan..
0262321745
Kaka sio sote tulio humu JF tunapenda ku comment any things na nakusihi usipende kukurupuka coz ur interlecture kama sijakosea & always msomi hakurupuki!
Sikuleta hii topic kwa kufurahisha genge fuatilia comments zangu na topics zangu huwa ziko kisomi zaidi na mantiki sawa msomi mwenzangu umenipata!
Nasikufanya vibaya kuleta topic hii humu coz kuna waanga wenzangu ambao tuko kwenye gurudumu la kutafuta ajira nao lazima wapate informations!
oral interview ni jumamosi DODOMA then unavyofanya hivyo utafanya watu wengine washindwe kutupa updates coz wataonekana waongo napia hatuku apply LAPF tu ni sehemu nyingi na humu ndipo tunapoulizana updates!
Hongera mkuu!
Ni kweli kuna watu wanaona humu JF ni kama sehemu yao ya kupunguzia stress..wakati kiukweli kuna watu wanapachukilia serious sana humu ndani mimi nikiwa miongoni mwao..sababu napata kujuzwa juu ya mambo mengi yanayoendelea.
Kama mtu unakuwa huna cha kucomment ni bora unyamaze au km hujaitwa wewe tulia tu na sio kupotosha wengine kisa tu wewe hujaitwa.Sio kila siku lazima uitwe wewe.
Mkuu Raqeeb km kweli umeitwa all the best!. Mm nilifanya hiyo interview na cjaitwa mpk sasa,Nashukuru umetujuza!
Umepigiwa lini mkuu?Mimi wamenipigia ila wanasemewamekosea number!!!!!imenipigia number hiyo hiyo
Umepigiwa lini mkuu?