PPF; Nafasi walizotangaza wameanza kuita watu?

henriq

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Jaman kama kuna mtu aliomba nafasi 40 za ppf ningependa kujua kama walishaanza kupiga simu kwa ajili ya written interview.
 
Bado mkuu vuta subira na kila mwenye Kusubiri yuko pamoja na mungu.
Yeah that's true man, ila mi sina matumaini coz nilijaza details zote vzr ila by the time na attach file nilikuwa nimeli name nikiacha spaces kwa jina! so sikufuata maelekezo na sikupata confirmation email...so nasubr muujiza:A S-confused1:
 
Hata mie nahis kuna kitu nlikosea God b with us.
 
Yeah that's true man, ila mi sina matumaini coz nilijaza details zote vzr ila by the time na attach file nilikuwa nimeli name nikiacha spaces kwa jina! so sikufuata maelekezo na sikupata confirmation email...so nasubr muujiza:A S-confused1:

Kuna email nyingine zaidi ya registration mkuu au ni lazima upate email coz ukitoa attach na kutuma palepale inakwambia successful!
 
ikishakwambia successful kuna email inatumwa kwenye email adress yako
 
mi navyojua ukishatuma pale juu inakwambia Good lucky application sent successfull. even last time nilituma ikanipa hiyo feedback nn waliipata. so msiwaze sana juu ya email.
 
Yah sure Bro! What I know ni Kwamba kama ndio first time una apply lazima ufanye registration ya details zako so confirmation email ya registration toka PPF ndio utaipata ila Baada Ya hapo ukisha apply inakuja tu hiyo successfully & good luck!
 
Back
Top Bottom