Recent content by mkurya mmoja

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Hawa wadhungu nadhani alikua anaongea nao kisukuma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Milton makongoro mahanga amchafulia mtatiro segerea.

    Aliekua mbunge wa segerea kupitia chama cha mapinduzi ndug makongoro mahanga ivi juzi ameonekana akimnadi mgombea kiti cha diwani Kata ya kinyerezi jimbo la segerea sambamba na mgombea ubunge ndugu Mtatiro. Katika hotuba yake iliochukua muda wa dakika 9 mahanga alitumia kuainisha madudu na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba akiwa na rais Kikwete Marekani muda mchache kabla ya kikao cha UN

    Ccm mpango mzima.. maukawa yanahaha na propaganda nyepesi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Juma Nyoso anahitaji msaada wa kitaalamu haraka

    True aiseee.. jamaa sio tu anadharirisha wachezaji wenzake bali anajidharirisha hata yeye pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 Tulifanya Ujinga, Mwaka Huu Tusifanye Tena Ujinga Ule!

    Sisi wajinga ndio na ujinga wetu hatutomchagua mgombea mwizi, fisadi na mdini kama lowasa... NITACHAGUA mwadilifu....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikakati chafu ya ccm kwa waalimu wasaliti leo dodoma:

    Kwani alikwambia waalimu ni wapinzani nani!!?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Mtikila yupo sahihi kabosaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

    Wafuasi wa Ukawa ni vituko show.. yaani wanataka kila mtu awe zezeta kama wao. Diamond mlianza kusema eti kajimaliza atununui kazi zake kama hawa mnanunuaga vile!!? Kama fid q unaamini ni mtu makini heshimu mawazo yake.. #Toroka uje
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni ujumbe gani unaupata unapoziangalia picha hizi mbili?

    Hakika mkuu...pia watanzania tulio wengi ni washangaaji lakini siku ya kupiga kura siri ni zao.. Time will tell 25 october
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

    Mange kimambi na Humphrey polepole ni watu makini sana.. wanasema kweli na kweli.inauma kwa wana ukawa kwa upande wenu... Lowasa mgonjwa hili sio kweli!!? Lowasa geita aliji....a hili je!? Lowasa mdini, hata hili unahitaji prove!!? Lowasa hafai na mambe yupo right... #Mtanyooka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    Wamekuja kishangaa chopa ila kura kwa Magufuli#hapakaziTu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Lowassa anashika Mic mbilimbili hadi tatu

    Kumbe rais wenu..
Back
Top Bottom