Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
basi barida!..kata simu,toa betri!
Jipigie makofi kwa m.a.t.a.k.o!
Unatumia masaburi kufikiria eeehh
basi barida!..kata simu,toa betri!
Jipigie makofi kwa m.a.t.a.k.o!
fid q ni bogus sana,,miaka yote anaimba hana hata kiwanja,,amepanga chumba na sebule,,
maskini fid kazidiwa hata na Jack Wolper? hizi njaa sasa inatoshaa khaa
Fid q wa kanda ya ziwa anamuacha wolper kwa wachaga wenzie
AliimbaFid Q !!!!!!!!!!!!!!!!!!, alishaimba nyimbo gani tafadhari tukumbushane mana hili jina kwangu ni geni.
Ukishaona mtto wa kiume Wa kitanzania kasuka ujue kichwani amna kitu uoo u legend katoa wapi wasanii wa Tanzania elimu zao ndogo ua niwalalamishi sana lakini wamejaa masiala na mizaha mwishowao mbaya utakuwa ukiwauliza ata ioo ilani ya ccm awajui inasema nini wanazani watakuwa katika kampeni siku zote tarehe 24 ni mwisho afu watarudi redioni tuone
mkuu uko vizuri, hata mimi niliandika wiki mbili zilizopita kuhusu huyu jamaa kupiga push ups jukwaani, siasa nyepesi