Mikakati chafu ya ccm kwa waalimu wasaliti leo dodoma:

Afixa0

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
464
485
Kuna walimu 100 wameitwa Dodoma Leo kwa batch ya 50@!wamepewa maelekezo ya kuidis ukawa kama ifuatavyo:

1:kuhakikisha Ccm inapata ushindi kwa kuwashawishi walimu wenzao kuipigia kura ccm .

2:Kuhakikisha walimu wana kuwa mawakala wa Ccm kwenye vituo vya kupigia kura.

3:Kuwafahamu mawakala wa cdm na kuwarubuni kuuza vituo.

4:Kuzunguka nchi nzima naa kutambua eneo ambalo lina nguvu ya upinzani(cdm).

Walimu hawa Leo wameondoka Dodoma kuelekea mikoani (Leo 50)na kesho wengine 50.
Ndugu zangu walimu hawa wamehaidiwa kupata vyeo pindi Ccm ikiingia madarakani.na wamepewa hela za kutosha.Aliendaa semina hii ni mke wa Mangula!! Ninalosema hili Nina uhakika aslimia 100.Nawaombeni mkiwaona wana kuja huko mitaani waelezwe ukweli maana wamesaliti umoja wa walimu nchini!!
Walimu hao wamedhihirisha unyonge wetu na wako tayari kuuza nchi kwa ajili ya Ccm!!Sambaza ujumbe kwa kila mwalimu Tanzania ili kila mwalimu ajue walimu wameshiriki kuharibu Tanzania!! Kila mwanafunzi ajue jinsi gani walimu walivyoisaliti nchi yao!!
 
tutawatimua. Mimi Wawili wameniandikia ujumbe nichague ccm sijui ndio hawa ila ni rafiki zangu wa karibu nimewapa za uso hawajarudia tena
 
Ualimu ni wito, hata mwajiri akikuvua nguo hadharani unatakiwa ubaki uchi huku unajipepea
 
Kweli chadema kuna pengo la Dr.Slaa. Uwezo wenu wa mnachokiita intelijensia ni hafifu sana. Majuzi tu mmeandika humu kuwa Mke wa Magufuli kasusa kampeni! leo kaandaa semina ya.kuisadia ccm! so which is which? Mpeni matibabu.mgonjwa kwanza kampeni baadae.
 
Mpuuzi wewe ni Mke wa Magufuli au Mangula? Umelewa nguvu ya mabadiriko BADIRIKA TU
 
Whoever! lakini ukawa kuna shida ya uongozi. Haijulikani ndani ya ukawa nani ana madaraka, nani ni msemaji wala nini! ni vururu vururu tu! leo Mbatia atasema, Kesho Sumaye, keshokutwa Salum mwalim yaani ni shidaa majimbo yana migogoro kibaao mko bize na propaganda! Malofa katika ubora wenu!
 
Kweli chadema kuna pengo la Dr.Slaa. Uwezo wenu wa mnachokiita intelijensia ni hafifu sana. Majuzi tu mmeandika humu kuwa Mke wa Magufuli kasusa kampeni! leo kaandaa semina ya.kuisadia ccm! so which is which? Mpeni matibabu.mgonjwa kwanza kampeni baadae.

Mkuu soma between lines ni mke wa Mangula.
 
Kweli chadema kuna pengo la Dr.Slaa. Uwezo wenu wa mnachokiita intelijensia ni hafifu sana. Majuzi tu mmeandika humu kuwa Mke wa Magufuli kasusa kampeni! leo kaandaa semina ya.kuisadia ccm! so which is which? Mpeni matibabu.mgonjwa kwanza kampeni baadae.

mkuu unajua kusoma kweli,wamesema mke wa mangula wewe unasema mke wa magufuli
 
Kweli chadema kuna pengo la Dr.Slaa. Uwezo wenu wa mnachokiita intelijensia ni hafifu sana. Majuzi tu mmeandika humu kuwa Mke wa Magufuli kasusa kampeni! leo kaandaa semina ya.kuisadia ccm! so which is which? Mpeni matibabu.mgonjwa kwanza kampeni baadae.
Umeambiwa Mangula sio Magufuli......unakurupuka tu utadhani pazia la chooni limepeperushwa na upepo.
 
Kuna walimu 100 wameitwa Dodoma Leo kwa batch ya 50@!wamepewa maelekezo ya kuidis ukawa kama ifuatavyo:

1:kuhakikisha Ccm inapata ushindi kwa kuwashawishi walimu wenzao kuipigia kura ccm .

2:Kuhakikisha walimu wana kuwa mawakala wa Ccm kwenye vituo vya kupigia kura.

3:Kuwafahamu mawakala wa cdm na kuwarubuni kuuza vituo.

4:Kuzunguka nchi nzima naa kutambua eneo ambalo lina nguvu ya upinzani(cdm).

Walimu hawa Leo wameondoka Dodoma kuelekea mikoani (Leo 50)na kesho wengine 50.
Ndugu zangu walimu hawa wamehaidiwa kupata vyeo pindi Ccm ikiingia madarakani.na wamepewa hela za kutosha.Aliendaa semina hii ni mke wa Mangula!! Ninalosema hili Nina uhakika aslimia 100.Nawaombeni mkiwaona wana kuja huko mitaani waelezwe ukweli maana wamesaliti umoja wa walimu nchini!!
Walimu hao wamedhihirisha unyonge wetu na wako tayari kuuza nchi kwa ajili ya Ccm!!Sambaza ujumbe kwa kila mwalimu Tanzania ili kila mwalimu ajue walimu wameshiriki kuharibu Tanzania!! Kila mwanafunzi ajue jinsi gani walimu walivyoisaliti nchi yao!!

Hivi na wenyewe hawashangai kabisa Serikali dharimu iliyoshindwa kusikiliza kero za wananchi kwa miaka mingi leo inawalaghai kwa vijisenti?Haki ya MUNGU atakayekuja kwangu atakiona cha mtema kuni!!
#HapaZikaTu
 
Hii Kama siyo namna ya kuwachonganisha walimu na ukawa sijui.
Nijuavyo Mimi walimu wengi sana wanamkubali Lowassa.
Tusiwakashifu walimu wakati ni askari muhimu kwa ukawa yetu na Lowassa.
 
umepofuka...Mangula na sio Magufuli kenge weee... ushabiki hata kusoma hujui
 
Umeambiwa Mangula sio Magufuli......unakurupuka tu utadhani pazia la chooni limepeperushwa na upepo.

Afadhali huyo aliyepost anaweza akafika hadi kwenye pazia la chooni, wengini hawafiki wanamalizia haja zao njiani.
 
Hakuna watu wanatumiwa kama toliet paper na masisiem kama walimu awamu wote wanataka mabadiliko yanapatikana ndani ya.UKAWA
 
Back
Top Bottom