Milton makongoro mahanga amchafulia mtatiro segerea.

Milton makongoro mahanga amchafulia mtatiro segerea.

mkurya mmoja

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
17
Reaction score
8
Aliekua mbunge wa segerea kupitia chama cha mapinduzi ndug makongoro mahanga ivi juzi ameonekana akimnadi mgombea kiti cha diwani Kata ya kinyerezi jimbo la segerea sambamba na mgombea ubunge ndugu Mtatiro.

Katika hotuba yake iliochukua muda wa dakika 9 mahanga alitumia kuainisha madudu na uzembe uliofanywa na chama cha mapinduzi kwa takribani zaidi ya miaka 10 jimboni humo ambayo yeye alihudumu kama mbunge katika jimbo hilo..

Mahanga ambae pia Ni rafiki wa karibu wa mgombea urais wa ukawa ndug Lowasa aliwaambia wananchi wa kata hiyo wasimchague mbunge Ndug Bonnah mosses kaluwa kwa kuwa ni mrembo na hatoweza kuzikabili changamoto za jimbo hilo.

Bonna kaluwa ambae alikua Ni diwani kata ya kipawa alitunukiwa tuzo ya diwani bora Tanzania kwa namna yake ya kutatua kero za kata yake Pasi kutegemea pesa za halmashauri,
Alitumia ubunifu wake mmoja na kuchangisha pesa kwa wadau wa maendeleo ili kuhakikisha kata yake inatatua changamoto.

NB; wananchi wa jimbo la segerea wanahoji mahanga anatoa wapi uhalali wa Kamnadi mtatiro na madiwani wa ukawa ingawaje yeye ndio alihusika kuharibu hata mwaka 2010 aliwaibia kura ukawa akibeba masanduku katika gari yake.
 
Wakurya wenzio wengi wamejitambua sijui wewe msukule umetokea wapi haya wahi asubuhi buku 7 yako
 
Back
Top Bottom