Recent content by mkurupuo

  1. mkurupuo

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Habari zenu?Binafsi sijakamilisha Bado kwa sababu ya ile sehemu ya kuambatanisha nyaraka za chuo!Nauliza tu endapo pdf zangu hazijafika 2MB inaweza ikaniletea shida ya kukosa sifa ya kuchaguliwa?(Kwa kuwa mafaili yote niliyotuma mpaka Sasa Ni chini ya 2 MB)!Ni hayo tu wadau
  2. mkurupuo

    Ajira za ualimu alizotangaza Rais Magufuli

    Walimu wa Sanaa tuendelee tu kufanya shughuli zetu za kihalali maisha yanaendelea Kama kawaida Ila utofauti Ni kuwa mfumo bado unakataa kutupokea!Siku ukikubali sawa Ila kwa Sasa tusiweke mawazo huko!Na nyie wa sayansi mkipata fursa muitumie vizuri huko serikalini
  3. mkurupuo

    Wanawake mliotolewa bikra na waume zenu njooni hapa

    Mi Nauliza tu jamani! Samahanini kwanza!Sina uzoefu wa haya mambo!Hv Kuna uhusiano wa msichana bikira na matiti yake!Namaanisha matiti yake yanakuwa magumu ama malaini ukiyashika!?Ni Hilo tu!Msaada tafadhali!
  4. mkurupuo

    Serikali kumwaga ajira za kutosha mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao

    Sijui kwa upande wa sekondari na walimu wa Sanaa watajumuishwa au ndo science peke yao ndo watakula mema ya nchi!?
  5. mkurupuo

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Samahani wakuu!Nami nimeona niulize hapahapa!Kuna rafiki yangu nae amechaguliwa SUA kozi ya BSc Environmental Science and Management!!Ipoje kozi hii(ngumu Sana ama wastani tu)na kazi zake inakuwaje (Baada ya kuhitimu)?
  6. mkurupuo

    Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

    KAMA NI KUONGEA KIINGEREZA HAKUNA SHIDA NINAFAHAMU!NIAMBIE KIGEZO KINGINE
  7. mkurupuo

    Chuo Chetu Kimeanza Kufundisha Kiswahili

    Tuambie utaratibu wa kupata nafasi ya kufundisha Kiswahili huko!?
  8. mkurupuo

    Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

    Pole Sana kiongozi!MUNGU awe pamoja nawe na timu yote ya JF!
  9. mkurupuo

    Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Siku ya Leo bhana!Ni nzuri pale ambapo ndugu yako kaongoza kitaifa katika mchepuo husika nawe umepangiwa shule ya kufundisha na serikali!Mpitie tovuti ya tamisemi mjiangalie majina yenu Kama yapo!!
  10. mkurupuo

    Nimekubali kazi ya ualimu ni ngumu

    Samahani mleta mada!Unaweza kufafanua vigezo vya kufundisha International school!?Binafsi nilisomea shahada ya ualimu Ila kwa Sasa ninafundisha English Medium School!! changamoto zipo lakini changamoto zinatofautiana kutokana na level husika! Binafsi sikuwaza kwamba ninaweza kuja kufundisha...
  11. mkurupuo

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Hicho kibali kingine hakijatolewa bado!?Kwani walisema kingetoka mwezi May ila mpaka muda huu kimyaaaaaaaaa!!!
  12. mkurupuo

    Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Dah!Mkuu Zangambadume ni fact unayosema!Binfsi ni RAIA tu na ningependa kila mzalendo aweze kuifikiria nchi yetu miaka 50 inayokuja!MUNGU IBARIKI TANZANIA NA UWAONDOLEE UBINAFSI
  13. mkurupuo

    Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    So kwa mujibu wa maelezo yako tumebanwa kotekote si timu pinzani wala timu mshindi!kotekote wamekaba.Mleta mada sio siri unanikumbusha ule waraka wa marehemu Mtikila!
  14. mkurupuo

    WAITARA

    Kuwe na mfumo wa chama kimoja tu mana tunachanganyana tu!!Ila ndo hivyo ukiwa tegemezi huwezi kuamua hivyo!Mfano Mchina yuko na chama kimoja tu Mwamerika mbona hamsumbui kuwa anaminya demokrasia!Hahaaaa hii ndo dunia bhana!!
Back
Top Bottom