Recent content by MKURUPUKO WA BABU

  1. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

    Bado msimamo wako ni ule ule? Wanawake wenye vitambi wanazidi kuongezeka kitaa.
  2. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Hapa JF Kuna kipindi Zilivuma Nyuzi za kubebishana hapa, KULIKONI?

    Tatizo Korona imeleta balaa.
  3. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Majaliwa | Vodacom Premier League (VPL) Namungo FC dhidi ya Yanga SC

    Huu ndio uwezo wetu halisi Yanga tusitafute mchawi, timu yetu imekuwa ya hovyo hovyo tu yani haichezi mpira mzuri mpaka iahidiwe pesa, pumbavuu kabisa.
  4. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania R.I.P Ruge Mutahaba, umeondoka na mengi

    Na wengine wapo huku Jamii Forums kuandika threads za manung'uniko na masimango.
  5. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Hizi Ndoto Zinanikera Sana

    Daah wewe unaota unafanya mitihani, mimi mara kwa mara naota naendesha gari tena gari kali tu, sasa sijui na mimi ndoto yangu ina maana gani? 😐
  6. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

    Hatimaye twapata mchekea Afcon 2019. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Tatu mzuka siku hizi unashinda bila kucheza?

    Wajinga ndio waliwao. Matapeli watapinga vilivyo
  8. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

    Ni kweli kabisa na hapo ndipo unafiki wa waliowengi utakapo jionyesha. Ila wapo watakaopinga
  9. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

    Ni kweli kabisa. japo wenye vitambi watapinga tu
  10. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Hivi style gani ya mavazi wanawake mnavutiwa nayo kwa wanaume

    Vaa vile unavyoona uko smart usivae kwa ajili ya kumfurahisha mwingine. Nasubiri kupingwa
  11. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kama unaruhusu mkeo achezee korodani acha Mara 1

    Kuna madhara gani mkuu. Japokuwa utapingwa
  12. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Yanga yapata kashfa ya kuroga uwanjani

    Aiseeee. Yanga watapinga tu
  13. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Hapa JF Kuna kipindi Zilivuma Nyuzi za kubebishana hapa, KULIKONI?

    Hakuna faida wala ulazima wowote. ila tambua utapingwa tu
  14. MKURUPUKO WA BABU

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar na viunga vyake

    duuh. Hapa bwana wahusika watapinga tu
Back
Top Bottom