Recent content by mkuru

  1. M

    Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    Kama ninyi ndio walimu mnatekwa kirahici ivo naisikitikia nchi yangu.polee Tanzania
  2. M

    Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

    Akuna kozi mbaya wala nzuri nendeni mkasome kozi mnazopenda asiwatishe mtu na hakuna kozi ya msichana au mvulana tatzo watu wamekariri kuwa ukiwa maskini usome ualimu hii siyo kweli kabisa
  3. M

    Ninayempenda hanipendi nisiyempenda ananipenda

    Subiri ufike miaka 35 au 40 utajijibu mwenyewe kwani utakua ushachuja na utakuja humu kutafta mchumba na utafanya maamzi sahihi kila la kheri.
  4. M

    Nifanyeje kuhusu ili?

    Ciku akifa itakuaje jaribu kuwa independent ata kdogo baci mwenyewe atakua anakushangaa tu wasubiri mda wote wakati daladala, tax,bajaji,bodaboda,zimejaa tele
  5. M

    Inauma kwa kweli mwanaume kukobolewa!

    kila mtu kiukweli anachukizwa sana na hii tabia ambayo imeota mizizi katka jamii yetu.Hawa wenzetu nashndwa kuelewa nini kina wasibu ni changamoto kweli kweli unakutakata na mkaka au jibaba hilo limechomekea vizuri ,mwli umeumbika vema wa kiume lakini maskini ya mungu kumbe bwabwa tumrudie...
  6. M

    Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

    Nakubaliana nawe mkuu alafu samahani ni Mkuru na si mkura najua ni typing error tu lakin nilikua najaribu tu kumpa mawazo tofauti kama ulivochangia mwenzangu yeye ndo mwenye pesa mwsho wa ciku mwamzi mkuu ni yeye lakn akhasante tupo pamoja
  7. M

    Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

    Tofauti ipo kubwa sana kwani pickup ulikua unasubiri mzigo lakini bajaji tofauti yake ni kuwa ni kama daladala na wateja wengi sana cku izi bodaboda na tax zimekuwa overtaken na bajaji. Watu mjini wanapendelea bajai sana kwani bei yake ni ndogo kwa abiria ukilinganisha na tax biashara ya...
  8. M

    Kuna uhusiano wowote wa ndevu kwa mwanamke na kuzaa ama kutozaa

    Mwenye uelewa na hili tafadhali atujulishe itakua msaada kwangu na kwa wengne
  9. M

    Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

    Cjui upo wapi ndugu but tafiti bajaji kwa ulipo inauzwaje fany cost and benefit analysis kwa hela yako inaweza tosha ukipewa elfu 90 kwa wiki ci haba mkuu ni hayo tu kwa uzoefu wangu
  10. M

    Girls

    In reference to maslow hierarch of need
  11. M

    Je Sasa Ni Rasmi JK kamtosa Membe? Tusubiri A Surprise Candidate wa CCM?

    Ni kweli kabisa huyu ndo Rais wetu ajae
  12. M

    Nani Mkali wa Rumba? Kati ya Ferre Gola na Fally Ipupa

    Ukizungumzia kizazi cha tano cha muziki wa kongo uwezi kuacha kuwazungumzia vijana japo kila mmoja ana ubora wake fally anatisha kwa kutawala jukwaa na kuimba vile japo felle anatsha kwa kuimba lakini bado kuteka jukwaa
Back
Top Bottom