Girls

Girls

wasichana hupenda mwanaume wa aina gani.

inategemea na aina ya wasichana je? Wa urban au wa rural?
Na mwenye kazi? Au kula kulala?
Bar maid?
Mlokole? Au macho juu?
Changudoa? Au anayejiheshimu?
Sista duu au mpiganaji?n.k n.k
...jaribu kufikiri tena hawa wadudu wanatofautiana sana ......
 
Kijiweni ili zinoge sharti stori ziwe na vijimbwembwe kama hivi. But tukirud kwenye serious life... we acha utani. Hashei mtu hapa
Nimekupata kweli vijiweni time inabidi upige porojo ili kidogo watu wafurahi si unajua hutakiwi kuwa siriaz muda wote.
 
Back
Top Bottom