Inauma sana ila nini hasa kisababishi cha hii tabia inayozidi kukua kila kukicha?
Niliwahi kuongea na mwl wa shule moja ya boarding ya wavulana kuanzia nursery mpaka sec aliniambia kitu ambacho ningependa tushare wote hii idea,aliniambia kwamba watoto wengi tunaopeleka kwenye hizi wengi ndio huharibika coz unampeleka mwanao pale shule bado mdogo na anakutana na watoto wengine wenye tabia chafu toka majumbani mwao wanamlazimisha kufanya mchezo mchafu so far anashindwa namna ya kujitetea kwani mtetezi wake ambae ni mzazi wake hayupo,hana pa kushtaki ,anatishiwa amani na wenzake kwamba ukishtaki utatutambua,mtoto anaogopa,hana pa kukimbilia inabidi akubali yaishe,mtoto anaharibika bila mzazi kujua,mnakuja kushtuka mna mtoto shoga.
Mwl akanifafanulia zaidi kwamba ukifuatilia historia za mashoga wengi walisoma boarding school toka wakiwa wadogo na wakajifunzia mchezo huo huko.me binafsi nilikubaliana na mawazo yake,akasema ni bora mtoto asomee shule akirudi nyumbani akifika umri wa kujitambua aende boarding,ni ushauri tu.