Recent content by MKUNGA

  1. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Rafiki angu ananiroga

    Duh. Hayo mambo karne hii, mh bongo bado sana.
  2. MKUNGA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

    Kuna kitu hapo. Walinzi wake walikua wapi hadi assailant anatamba vile?As if kampiga risasi junior officer tuu. Tutasikia mengi.
  3. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Kwani Rais anateua sana kutoka UDSM? Mzumbe na UDOM vipi?

    Sio kweli, ameteua wengi tuu kutoka vyuo vingine ingawa UDSM imetoa zaidi. Tukiacha unafiki UDSM ndio Chuo bora hapa nchini.
  4. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Basi la New force la kutoka Tunduma-Dar limegongana na lori maeneo ya Igulusi

    New force huwa wanakimbia sana na huwa hawatuheshimu tunaoendesha gari ndogo, wanapiga overtake hatarishi inabidi uwakwepe. Tusisingizie mwisho wa mwaka, ajali nyingi ni uzembe wa madereva.
  5. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania EAC bado ipo?Mambo yanayoendelea Mh. Sitta anasemaje?

    Nilishawahi kupost siku za nyuma kuwa ndugu zetu ni SADC na sio EAC. Leo yanaanza kudhihirika.
  6. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Napingana na serikali kwa kufuta vibali vya wageni wanaoishi Kagera, Geita na Kigoma

    Rudi kwenu. Nchi yenu si ina uchumi mzuri kuliko sisi?
  7. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

    Acha chuki binafsi wewe. Mgogoro wa Ziwa Nyasa ulianza tangu enzi za Mwl. Usipotoshe Umma.
  8. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Jeshi kuwanoa vijana wa CHADEMA

    Hata yule wa merelani aliyepiga picha na Lema alikuwa mwanajeshi.
  9. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Update:KUANDAMA KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.

    Ramadan Kareem wana JF
  10. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Ole wako ukamatwe na wanajeshi mtwara utajuta kuzaliwa..

    Hata wawe na mapembe tutayakaya tu.
  11. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya CCM ktk chaguzi za kata uliofanyika juni 2013, waraka wafichua kura 1 Tsh45,000

    Kweli chama chenu kina Aweda ni kiwanda cha uongo. Thibitisha.
  12. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania eneo la wazi mwananyamala panajengwa madrasa!!!!?!!

    Kwa nini mnapenda kukashifu dini za wenzenu?
  13. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Pori lipi?
  14. MKUNGA

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Wananchi waendelea na Operation ya kupiga Raia Mtwara

    Kama mnafanya fujo serikali iwachekee? Kilochotokea Mtwara ni uasi. Lazima uzimwe kwa nguvu zote.
Back
Top Bottom