Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 286
Haha ha nyie ni wanyonge, kwa iyo unyonge wenu ndo unawanya mlazimishe gesi isije mjini,tena mnatumia neno GESI YETU basi na ss wa kilimanjaro tuseme madini yetu,mbuga yetu,mlima wetu,hivi hizo rasilimali tulizo nazo apa kilimanjaro tungesema na sisi tuzizuie kwa aji ya manufaa ya mkoa wetu si kilimanjaro na arusha ilishakuwa new york,namalizia hivii,,gechi lachima ije darechalamulSafi sana, hamtokuwa madketa wa kwanza kaitka dunia hii. kicheko chenu ni cha kasi kama mabomba yatakavo kuja na kitakatika kwa kasi mpaka mtashangaa, jipe muda tu na utakumbuka kama ni duwa la kuku au nini. na naomba usije kubadilishe jina kujifanya ulikuwa mmoja wetu. Leo sisi ni wanyonge sana lakini tunapajua tunapokwenda