Ujue sisi tunafadhiliwa na nchi za magharibi sana ambao tunawasaidia kutekeleza sera zao za kifirauni kama ushoga,dhulma mbalimbali,sema hatujui kuwa sisi tuko mbele na hawatukamati kwa sasa hela zetu zote zimetokana na primitive accumulation of capital ndio mana sisi tunejenga masonic building.kuwa msomi sio kuwa na degree za juu.Eti tumeendele lakini tunadanganywa eti 3=1 na 1=3.akili au matope.tumeendelea kweli nimadoctor na maprofesa.kitendawili!
Kwa nini mnapenda kukashifu dini za wenzenu?Eneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa
Eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa
Nawapongeza
Eneo la wazi mwananyamala,nyuma ya kanisa na jirani na kituo cha polisi pana ujenzi unaendelea wa madrasa
Eneo hilo ambalo siku nenda rudi limekuwa likitumika kwa michezo "wenye" eneo wameona wajijengee madrasa
Nawapongeza
Ulitaka wajenge kanisa?
okamamuk kila siku watu wanapigiwa kelele kuhusu kukashifiana mbona unakua choko wa akili we pimbi?jengeni ili mabwege muendelee kuwa wengi,wanenu wakariri juzuu,wetu wanaenda tuisheni! Kisha baada yamiaka 15 mlalamike eti watumishi serikali wengi ni wakristo,mbwa nyie mnadhani mtapewa uwaziri kwa elimu yajuzuu?
But why a madrasa and not something usefull?!. twalalama wenzetu wanavyuo na shule nyingi, basi na tujisifie tunazo madrasa nyingi maana nyingine ziko hata chini ya mti. kwa hili tumewapiku wenzetu na hawatukamati kamwe.
Wewe ndio uko nyuma katika dunia inayokwenda mbele,leo dunia nzima wanatafuta wasomi wa madrasa,mpaka vyuo vikuu na katika mikutano ya kimataifa,ikiwa Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa Lugha za kimataifa,U.N,ni miongoni mwa Lugha inazotumika kwa mawasiliano.jengeni ili mabwege muendelee kuwa wengi,wanenu wakariri juzuu,wetu wanaenda tuisheni! Kisha baada yamiaka 15 mlalamike eti watumishi serikali wengi ni wakristo,mbwa nyie mnadhani mtapewa uwaziri kwa elimu yajuzuu?