mi sioni tatizo. Mbona greenguard wanafundishwa na wanajesh walio kazin tena mpaka kulenga shabaha.
Sasa hivi wako kwenye face II, kutega na kurusha mabomu
Kamanda wa jeshi ndiye atakayetoa mafunzo kwa vijana wa CHADEMA makambini na atasaidiwa na makamanda wawili.
Katika kile kinachothibitisha kwamba CHADEMA kimedhamiria kutekeleza uamuzi wake wa kuwapatia vijana mafunzo maalum ya ulinzi km ilivyotangazwa na mwenyekiti wake freeman mbowe, kimemteua kamanda mmoja mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ ) kuandaa mpango wa kuwapatia mafunzo maalum vijana wake nchi nzima ili kukabiliana na CCM.
Habari za ndani ya chama hicho zimebainisha kuwa, kamanda huyo mstaafu wa JWTZ (jina tunalo) ameteuliwa na Mbowe na anatoka mkoani Arusha ambako anaelezwa amekwa msaada mkubwa kwa CHADEMA ktk ushindi wa chaguzi mbalimbali ukiwemo uliomalizika hivi karibuni wa udiwani ktk kata 26 uliomalizika hivi katibuni.
Imeelezwa kuwa kamanda huyo ni mtu mwenye mahusiano ya katibu mno na mbowe na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.
Mtoa habari hii amesema kuwa suala la chadema kuwapatia vijana mafunzo ktk makambi maalum mikoani haliepukiki, licha ya serikali kupitia jeshi la polisi kuonya juu ya hatua hiyo ya chadema. Bado viongozi wake wameapa kuendelea na zoezi hilo.
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=104209&d=1374837919
Source: gazeti la hoja https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=104212&d=1374838654
hojanews@yahoo.com