Kiukweli mimi kama una biashara kubwa au taasisi, na na ukanipa busines card yenye email yako ya gmail sjui yahoo ntakudharau sana na sitakuchukulia serious
Wadau wa greater thinker habari zenu.
Uzi wangu upo direct sana, napenda kufahamu ni maduka gani ambayo ni official naweza kupata simu og za sumsung ikiwemo warant. Nataka j7 PRO yenye 32 HDD.
Mwenye ufahamu anitajie ama nipe location nipate kuwaendea.
Nb mimi siyo mdau wa simu used
Mimi nadhani hali ikiendelea hivi basi ubunifu utakuwa mkubwa sana na tutegee vijana kubuni mawazo makubwa ya kibiashara na kutoboa. Lakni watakuwa ni wachache wale wenye akili pana . wale wenye mindset ya kuajiriwa wataendelea kulaumu huku muda ukiwatupa mkono na mwishowe wataweza kuingia...
Haya mawigi nayachukia sana aisee, yaani nikiona mwanamke kavaa naweza kutapika, kuna manzi mmoja aliwah kutumia brush langu la kusugulua, akabrush hayo manywele tangu mwezi wa 4 mpaka Leo brush lina harufu ya mawigi hata nilisafishe vipi.
Wadau wa jf, naamini mko wazima, swali langu ni kama hapo juu, mwenye uelewa namna ya kupata passport kwa hapa bongo natumia utaratibu gani, na pia viambatanisho, na garama zinazohitajika na approx muda gani itachukua mpaka niipate pasport
Kabla hujaacha kazi nenda bookshop nunua kitabu cha Robert kiyosaki kinaitwa before quitting ua job kisome kisha utapata mwanga usiache job kizembe kabla hujapata pakushika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.