Recent content by Mkulima na Mfugani

  1. M

    Kazi ya Uwakala wa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money inaingizaje pesa?

    Nimeshawishika mpaka nimetafuta Laini ya lipa kwa Tigo pesa nimeipata, nimegundua kumbe nilikua napoteza Muda kwenye hii kazi
  2. M

    Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Inafanya vizuri zaidi muheza ila hata Handeni, korogwe na mkinga inakubali ila sio sana kwani yanawahi kuiva hivyo hayakai Muda mrefu kwenye mti
  3. M

    Misimu ya Matunda Tanzania

    Machungwa kama yamezaa kwa msimu mmoja basi mavuno ni kuanzia mwezi wa tatu mpaka mwezi wa kumi na moja ila kama yamezaa Mara mbili mavuno ni Mwaka mzima, Yaani kuanzia januari mpaka desemba
  4. M

    Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Ili uwe na uhakika wa kupata mchungwa wa valencia ni bora ununue mche wa limao halafu unaupanda shambani baada ya Hapo unafanya grafting mwenyewe ila ukinunua mche wa mchungwa moja kwa moja wafanya Biashara wengi wamekua sio waaminifu, anaweza kukuuzia aina nyingine ya mchungwa akakwambia ni...
  5. M

    Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

    Vip kuhusu ubora wa mbao za mnazi katika kupaulia ukilinganisha na mbao nyingine?
  6. M

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mwanangu mpaka sasa miaka 2 na mwezi mmoja utosi bado unadunda vp Kuna tatizo?
  7. M

    Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Yaani inaweza kufika hata 200, yaani masoko yamekua mengi sana hasa nje ya nichi
Back
Top Bottom