Wala hawajakosea walishafanya ujasusi wakaona ni hatari zaidi Ujerumani ingetawala ASIA yote.. maana cha moto wangekiona. We fikilia hilter angewanya nini..Waltons ni nafuu zaidi kumkabili Russia kidogo kidogo kupitia Ukrane, Poland na Finland ..kuliko kama kumuacha Ujerumani ashindee Ile vita...
Mimi naona sawa. Ameona hivo awekee UTT. sio jambo baya..Hilo ndio wazo lake. Ila Kuna mwengine akipata iyo million 10. Ataweza fanya biashara anayoifahamu vizuri atengeneza faida kubwa zaidi ya iyo ya UTT. Tunatofautiana mawazo. Mwingine anabahati anawatu ambao au connections sahihi ya watu...
Israel alikuwa ashapoteza uwelekee... mifumo yake ya anga ya ulinzi.. ilikuwa inafeli...hypersonic za Iran...zinapiga miji ya Israel sehemu muhimu tena kwa usahihi... jamaa wakaona apo tukicheka...Irani atawamaliza. Iran alikuwa anampiga mdogo mdogo tuuu...kweli nimeamini waajemi sio watu...
Tulikutana naye Mwanza SAUT chuo.. ilikuwa around mwaka 2011 ctasahau ilikuwa Mishale ya saa mbili ucku tumetoka kula tunaludi hostel..gafla mwezetu katushitua nyoka..kuanza kutafuta mawe..akaingia hostel yakalibu...ndani mule ndani wanawake wanapiga kelele..kishenzi.. nahisi sababu ya tiles...
Kwa wakati ule ni sawa maana German walikuwa tishio. Sema tu strategies zilifeli. Lakini ilileta madhala makubwa sana ulaya na Asia nzima. Japo Germany alishindwa lakini ulaya na Asia hawatasahau hasala walizopata. Hata hivyo Germany alikua kundi moja na Italy na Japan, Hungary, Bulgaria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.