Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Sisi wananchi ndiyo wapumbavu tumeruhusu mfumo wa kishetani kabisaHiyo kwa sisiemu kawaida yao mkuu .
Sisi wananchi ndiyo wapumbavu tumeruhusu mfumo wa kishetani kabisaHiyo kwa sisiemu kawaida yao mkuu .
Hakika na tunaona sawa tuSisi wananchi ndiyo wapumbavu tumeruhusu mfumo wa kishetani kabisa
Mpaka siku tuamke ndiyo haya majangili ya mali za umma yatashitukaHakika na tunaona sawa tu
Hakuna Kazi ngumu Kama kuwapambania Wajinga Mkuu.Mpaka siku tuamke ndiyo haya majangili ya mali za umma yatashituka
Mandela angekata tamaa mpaka leo South ingekuwa chini ya makaburu, anachofanya Lisu ni kikubwa kupita kiasi.Hakuna Kazi ngumu Kama kuwapambania Wajinga Mkuu.
Sasa hao watu wa SA wajinga waliojaa negativity ndo wakuwapambania?Mandela angekata tamaa mpaka leo South ingekuwa chini ya makaburu, anachofanya Lisu ni kikubwa kupita kiasi.
Lisu anataka mshahara kwa MUNGU wa mbinguni na siyo hii laana ya kuibia masikini na mafukara unaenda kupoda rahaSasa hao watu wa SA wajinga waliojaa negativity ndo wakuwapambania?
Lissu yupo sahihi Ila watz sio watu wakuwapambania unabidi kuwaacha
Duniani tena?...Natabiri hili litakuwa bunge la hovyo kuwahi kutokea duniani!!! Mark my words
Hii Ole Pinda imekujaje?Baadhi ya wateuliwa wa nafasi ya Ubunge leo kupitia ccm ni wana familia wa familia maarufu hapa Tanzania.
Ni kama wanasubiria muda waende na madereva wao wa VX LC 300 kwenda kuapishwa Dodoma.
Chama kina wenyewe na wenyewe hawana kelele huku mitandaoni.
DJ naomba kibao cha “Kalayi boeing” nisindikize kinywaji changu taratibu!
Sisi wengine tuendelee kutafuta ajira tamisemi
View attachment 3423635View attachment 3423636View attachment 3423638View attachment 3423640View attachment 3423641View attachment 3423644View attachment 3423649