Recent content by mkukila85

  1. mkukila85

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Njoo nikutongoze nikisha kupata"ufuate njia hizo hizo kama ukinikubaria naamini nawe hutokataliwa wa kutokwa jasho
  2. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Vyote ulivyoona na ulivyosema inaonyesha point yako kwa vile hakuna warembo kama wa#Buguruni Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  3. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Macho ya Wanaume

    Huwezi soma plate namba ya gari wakati linakuja mbele yako"lazima uliache Kama Lina pita[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  4. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Mkuu wa wilaya anahuruma sana"Halima hana maadili yakuwa mbunge wa wananchi tena wa kawe kwa wastaarabu"hili ni funzo kwa wananchi wa kawe kwa kuchagua chama bila kuangalia maadili ya mgombea
  5. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo Dsm kila mmoja na tozo yake!

    Hii ni nchi nzima ngoja huko kwa wafugaji mtaisoma kijumba cha nyasi ml. kisa una mifugo mingi
  6. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

    #WEKAAAAAA!
  7. mkukila85

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    #Babu jinga"mali yako ya liwa Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  8. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

    Huyu anaonekana ni mtumiaji mzuri wa web za video za mambo yetu mpaka hanasahau Kama zinamaliza bundle[emoji16][emoji16][emoji16]
  9. mkukila85

    JamiiForums Tanzania CCM wateka nyara sikukuu ya wafanya kazi duniani MEI MOSI!

    Nanyinyi subirini sikukuu ya wasiofanya kazi mumnadi mgombea wenu[emoji135][emoji135][emoji135]
  10. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Part one: Swali kwa wanaume tu

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  11. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Hili la Nape kupita kwenye migongo sio udhalilishaji kwa Mama zetu?

    #wametaka wenyewe kukanyagwa"Naye kawakanyaga [emoji188][emoji188][emoji188]
  12. mkukila85

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifanya nae mapenzi kinyume na maumbile, je anafaa kuoa?

    Kwani weye wa wap nipe namba yake nimuoe mie "
  13. mkukila85

    JamiiForums Tanzania TANZANIA TUPO HIVI

    Jamani naomba tukubaliane maisha kama paredi"Nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza
  14. mkukila85

    JamiiForums Tanzania TANZANIA TUPO HIVI

    Baba hakumiliki hata Digadi la guta ingawa alifika form4 ya mkoloni mie stnd 7
  15. mkukila85

    JamiiForums Tanzania Dar: Kinondoni kutengeneza Mtaa maalum wa Baa tu

    Jamani Mwenye sindano ya kushonea katambuga aniazime kidogo
Back
Top Bottom