Part one: Swali kwa wanaume tu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,580
48,735
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.

Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.

Swali la kwanza;

Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
 
Sasa hilo ni swali gani?
Au unataka tujue kwamba siku hizi unavaa cheni kiunoni badala ya shanga.
Unanikumbusha zamani nikiwa shuleni visichana vikicheza mchezo wao wa rede vinafunua sketi zao tuone kama vina chupi mpya vikiwa na zilizotoboka wala haviruki sarakasi.
mkuu twende kwenye mada bna mi cheni sijaanza kuvaa leo nimevalishwa toka nipo mdogo .si unajua zinasaidia kutoa shepuu?
tuache malumbano wewe jibu swali
 
Mostly chen ya kiunon ni nyembaba na pia ina ukubwa fulan ambao kwa shingon lazma izunguke mara mbili
 
Nitagundua baada ya kuona kiunoni hakuna cheni, pia naweza jua kwa kuangalia size ya cheni na idadi yake za shingoni
Mwisho ondoa mambo ya ku assume kwani kipindi tulichonacho tu tuliassume vipi magu akiwa Rais sasa hali halisi wote tunaiona sasa habari za kuassume assume hayo ipo siku utatuambia tuassume mke wangu kaja home na chupi used lakini ya kiume sasa hayo mambo si ya kuassume
 
Mostly chen ya kiunon ni nyembaba na pia ina ukubwa fulan ambao kwa shingon lazma izunguke mara mbili
Nitagundua baada ya kuona kiunoni hakuna cheni, pia naweza jua kwa kuangalia size ya cheni na idadi yake za shingoni
Mwisho ondoa mambo ya ku assume kwani kipindi tulichonacho tu tulia ssume vipi magu akiwa rahis sasa hali halisi wote tunaiona sasa habari za kuassume hizo ipo siku utatuambia tuassume mke wangu kaja home na chupi used lakini ya kiume sasa hayo mambo si ya kuassume
jibu swali utaelewa au hutaelewa?
 
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.

Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.

Swali la kwanza;

Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?

Tuma picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom