prezdesho
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 150
- 78
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania.
01.Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.
02.Wale waliokuwa wa pili,wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.Wale waliokuwa wa tatu,wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.yaani wa kwanza na wa pili.
04.Wale waliofeli,wanaenda Ualimu na Jeshi,hawa wakigoma,basi hao wa juu wote hawana raha.
05.Wale waliopata Zero,wanakuwa waganga wa kienyeji,wote hapo juu watamtafuta huyu,pale mambo yao yanapokwenda kombo.
Tuache kudharauliana,kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.