Recent content by Mkoyongi

  1. M

    Endapo Simba itapoteza Kigoma

    Kwa hiyo tanga kutawala hadi simba ipasuke?hill halipo
  2. M

    Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

    Tutapigwa si chini ya nane
  3. M

    Fidia ya ndoa

    Mke wangu amezaa nje ya ndoa kabla talaka haijatolewa. Je naweza kufungua kesi ya kudai fidia n.a. kuzalilishwa?
  4. M

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Wakuu. Mke wangu anaomba talaka sababu eti mm ni mzinzi. Aliniacha akaenda kuishi kivyake n.a. tayari amezaa. Je katika mazingira kama hayo kesi ya mzingi ikiisha , je naweza fungua kesi ya kuomba fidia kutokana na yeye kuzaa kabla talaka kutolewa?
  5. M

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Je usipohudhuria mara ya kwanza wakati wa kusomewa shitaka kitatokea Nini UOTE="Petro E. Mselewa, post: 28036059, member: 116264"]Kama ametimiza sharti la kuanzia Baraza la Usuluhishi,atasikilizwa upande wake na uamuzi kutolewa.
  6. M

    Msaada wa kisheria kuhusu talaka na kugawana Mali ya ndia

    Wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria. Nilinunua kiwanja kabla ya kuwa n.a. mchumba. Baadae nikapata mchumba lakini kabla hatujafunga ndoa nikawa nimejenga nyumba hadi kiwango cha Renta. Baadae tukafunga ndoa nikaendelea kuimalizia taratibu. Kukatokea mfarakano kwenye ndoa hadi kazaa nje ya nje...
  7. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nahitaji kujua bei I ya units za umeme. Natumia wastani wa 113 kwa mwezi lakini nalipa 40,000. Naona beI kama ipo juu
  8. M

    Kampeni ya kupinga Bahati Nasibu Tanzania

    Hivi unaelewa maana ya bahati nasibu? Unapoliwa ujue mwenzako lala. Kifupi hela ya zawadi inatoka kwa wachezaji so wachezeshaji.
  9. M

    Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Ahmed Amasha Charles Boniface Mkwaya Issa Athuman Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

    Loma mrefu Mara upo musoma vijijini kijiji cha bukumi kulukungu inaitwa kwilela
  11. M

    Kibwagizo; Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi. Usahihi ni upi?

    Neno sahihi ni kwamba bwana alitoa na. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Mungu hujui lolote na hukumu hutolewa siku ya mwisho ya hukumu ambapo wenye haki wataurithi uzima wa milele na waovu wataangamizwa milele
  12. M

    Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

    Dar to Moro ni km 194 tu kwa speed ya 500km/hr ni less than 30 minutes
Back
Top Bottom