Sijaona sababu ya kusikiliza maana hotuba inayoendelea ndio ile ile ya mwaka jana pia maamuzi ndio yale yale ya mwaka jana.
Tuendelee kuunga mkono juhudi za mh.
Jamaa pia anakua kimwili lakini kiakili ni kama form 3, mambo mengi ameandika kwa kutafuta sifa
Alafu haya mambo ya kujiself kwenye vitanda vya hospital na utu uzima wake ni upuuzi tu alafu ukute anaumwa magonjwa makubwa makubwa lakini kuyapost ndio hawezi kabisa
Si kila unaloambiwa liko sawa,mengine unadanganywa...
Mwili kubonyea inaweza kuwa dalili ya kisukari au figo kufail.
Kuna mambo mengi katika afya za wanadamu,sio kila dalili mnasingizia ni ukimwai.Huzingatii lishe bora na bado ukipata hitilafu kidogo unaanza kuwaza H.I.V sio sawa.
Ni heri...
Yote haya ni mapenzi ya kuigiza, mimi sihitaji kukumbatiwa sijui kutumiwa mameseji kwamba napendwa kwasababu tumeoana kwakua tunapendana.
Tabia za wanawake kuwatumia waume zao meseji za kimahaba ni tabia wanazozitoa kwa marafiki wabaya na zaidi hujifunza hadi vitu vya ovyo.
Ukiniheshimu...
Waheshimu wanawake basi ndugu yangu. Isije ikawa hadi mama yako mzazi ukawa unamuangalia kwa mtazamo huo.
Wanawake wametofautiana maumbile, wapo wanaopata matumbo baada ya kujifungua mtoto na kuna wengine vitambi vyao vinatokana na kurithi au lishe.
Kama bado hujakua achana na habari za kuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.