Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
MERCIFUL

MERCIFUL

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
1,886
Points
2,000
MERCIFUL

MERCIFUL

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
1,886 2,000
Bado mkubwa juzi hapa nimeona karushia insitagiramu akiwa na ki chenchede chake
Mkuu inawezekana wala sio ki chenchede wake; nasikia jamaa anapenda sana kupiga picha na Le Wabebeez halafu ana-post mtandaoni. Kuna dada ilibidi amuombe a-delete picha yao maana jamaa yake ali-mind.
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,536
Points
2,000
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,536 2,000
kwan jamaa ana mishe gani hapa town?
 
Mkorintho wa 6

Mkorintho wa 6

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
283
Points
500
Mkorintho wa 6

Mkorintho wa 6

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
283 500
Yaani huyu jamaa ni limbukeni. Halafu limbukeni tena.
Jamaa pia anakua kimwili lakini kiakili ni kama form 3, mambo mengi ameandika kwa kutafuta sifa

Alafu haya mambo ya kujiself kwenye vitanda vya hospital na utu uzima wake ni upuuzi tu alafu ukute anaumwa magonjwa makubwa makubwa lakini kuyapost ndio hawezi kabisa
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
7,932
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
7,932 2,000
Pole kwa kuugua Lemutuz..wish you a speed recovery.
 
kush moker

kush moker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
355
Points
250
kush moker

kush moker

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2016
355 250
Taifa limwangalie huyu mtu maana ana hazina ya 'kibamia cha taifa'
 
NYEKUNDU YA BIBI

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
803
Points
1,000
NYEKUNDU YA BIBI

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
803 1,000
yah bado yupo alikuwa waziri mkuu wakati wa nyerere,baba yake alitembea na mfanyakazi wa ndani ndo akazaliwa yeye kwa kifupi yeye ni mtoto wa nje ya ndoa,mama yake alikuwa beki tatu wa waziri mkuu alikuwa na msabwanda wa kufa mtu kafariki now
Bao La nje yandoa linakutana Na misukosuko mingi
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,550
Points
2,000
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,550 2,000
William Malecela (Le Mutuz au Baharia) ni mwanachama mwanzilishi na mmoja wa wadhamini wa kwanza kwanza kabisa wa jukwaa hili kuanzia 2005. Aliwahi kuwa na ID za Mzee ES na Field Marshal ES wakati bado anaishi New York City. Muda mfupi kabla hajaamua kurudi nyumbani alimua kubadilisha ID na kuweka jina lake halisi la William Malecela ingawa sasa hivi sijui anayumia ipi. Katika kipindi hiki chote hapa JF ametoa michango mingi sana ya maana, tumelumbana naye kwenye mada nyingine nyingi sana na kufikia kukubaliana kutokukubaliana, na vile vile amewahi kutoa michango ambayo ilionekana haifai kujadiliwa kabisa. Hayo yote ndio msingi wa majadiliano na ni kati ya chachu zilizosababisha JF ikubalike kwa watu wa mbalimbali katika jamii.

Wiki hii nimesoma kwenye mtandao mwingine kuwa amelazwa Muhumbili kwenye taasisi ya moyo; sijaona thread yoyote JF inayohabarisha jambo hilo, na kama ipo basi huenda ni obscure sana kiasi kuwa haionekani mara moja. Napenda kutumia nafasi hii kuwaomba wana JF wote tumtumie salamu za pole mwanachama huyu mwandamizi wa jukwaa hili. Atakayeweza kumtembelea afanaye hivyo, atakaye mtumia SMS afanye hivyo na yule atakeyesaini kwenye thread hii kumpa pole asisiste afanye hivyo. Le Mutuz na mojawapo ya nguzo kubwa sana zilizojenga JF.
1557434910342-png.1092909

Ugua pole mwenzetu Le Mutuz. Binafsi ninakuombea mwenyezi Mungu akurudishie afya yako yenye nguvu urudie kwenye majukumu yako bila kusita kutoa "Tamkoz"
 
O

Ottoh-Man

Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
9
Points
45
O

Ottoh-Man

Member
Joined Oct 31, 2018
9 45

View attachment 1092909

Ugua pole mwenzetu Le Mutuz. Binafsi ninakuombea mwenyezi Mungu akurudishie afya yako yenye nguvu urudie kwenye majukumu yako bila kusita kutoa "Tamkoz"
Mwenyezi Mungu akupe swia na nguvu amin
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
2,170
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
2,170 2,000
You know sometimes like nini mabebez miss you sana I love you guyz
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,295,405
Members 498,303
Posts 31,210,845
Top