Utafanya nini Siku unamuona mkuu wa Tume ya uchaguzi anatangaza CCM Imeanguka madarakani

Sijawahi kuwaza hili, sitowaza hili maana umri nliobakisha kuishi duniani sidhani kama unatosha kuweza kuniwezesha kuja kushuhudia jambo kama hili...jambo hili litawezekana miaka zaid ya 20 ijayo so ukichukua hii 50+ niliyonayo ni wazi kuwa sitokuwapo kwa kuzongatia kuwa umri wa kuishi wa mtanzania haswa wa maisha ya kawaida ni chini ya 70,swali hili nitauliza vijana wangu kisha nitatoa mlejesho wa vijana wa vijana wenye chance ya kuja kushuhudia hilo
 
mkuu dunia ya sasa sio ile ya wakina Nyerere. Hii mtu analala CCM anaamka Chadema.
Unaweza pata Strock ukikataa hili. Ilikuwa ni rahisi chama kudumu miaka ile kuliko hii. hii ni duniani kote.
Bora uamini tu hata isipotokea hakuna hasara
 
Kabla ya Tanzania mpya kwanza upinzani mpya unaoamini na kuitekeleza demokrasia ndani na nje ya chama. Ulio tayari kukosolewa na kukubali makosa ya kurekebisha.
mabadiliko ya kuleta wapinzani unaowataka yanaweza kuwa ni phase ya Pili, ila yakitanguliwa na anguko la CCM kubitia kaboxi kadogo ka kura.
 
WATANZANIA, TATIZO SIO CCM WALA CHADEMA, TATIZO NI KATIBA. IKIBADILISHWA KATIBA NA KUHESHIMIWA HATA CCM ITAWALE MILELE SAWA TU.
KUWE NA MAMLAKA KAMILI YA MIHIMILI DOLA.
TUWE NA MAHAKAMA HURU KABISA
BUNGE HURU NA SERIKALI INAYOWAJIBIKA KWA WANANCHI KUPITIA BUNGE/WAWAKILISHI WAO.
SASA HIVI NI KUWA NCHI YOTE INAMUABUDU mungu magufuli YAANI YEYE NI ZAIDI YA KATIBA, BUNGE NA MAHAKAMA NA KILA ENEO AMEKANYAGA NA ANAKANYAGA ANAVYOTAKA...NI AIBU WATU MILIONI 55 KUONGOZWA NA AKILI YA MTU MMOJA, SIKU AKIJISIKIA ANAGAWA VITAMBULISHO, ANAKUBAMBIKIA KESI YA UHUJUMU UCHUMI, ANAGOMA KUAJIRI NA KUPANDISHA VYEO NA MADARAJA, ANAWEKA MTOTO WA DADA YAKE HAZINA, YAANI NI VITUKO JUU YA VITUKO.....
 
labda mwenyekiti wa NEC awe Prof. Asaad
na wakurugenzi wa halmashauri wawe ni aina ya majaji waliompa Mbowe dhamana !
 
Back
Top Bottom