Recent content by Mkopi salo

  1. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

    Subiri kuliwa maana naona ndio unacho tafuta sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Mh. Rais, usiwasahau wafuatao kwenye Timu ya mazungumzo

    Mh:Rais na mimi usinisahau
  3. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Naibu Gavana wa BOT (Dk. Natu El- Maamry Mwamba) Una msaada gani kwa Jamii yetu kwa sasa?

    Yaani umeongea utumbo jumlisha ujinga, wewe ni hamnazo, ushasema ni mhadhiri chuo kikuu na alikuwa mjumbe wa bodi ya bot, halafu wauliza ujinga wakati mwingine muwe na heshima mnapo uliza utumbo wenu.
  4. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo Watanzania Tutakukumbuka

    Aende huko prof:gani nchi yaibiwa kapiga kimya itakuwa na yeye anatabia ya mkono mkono ndio mana jeuri, akome sasa
  5. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na Vatican city

    Nimeshindwa kujadiliana na wewe kwa sababu umeshindwa kutoa hoja umekuja na kashfa, ungeliweza kumzunguzia mama Yesu na utakatifu wake ndio ungejua thamani ya khadija. Lakini kwa ukafiri wako umeshindwa kujielewa,baki kuwa kafiri.
  6. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti wanataka mahari ya Tshs. 2,000,000... kipindi hiki cha Magu...

    Kama mimi sikupi mwanangu, kumbe unanjaa hivyo bora niendelee kumlisha tu mwenyewe.
  7. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpenda sana mwanamke mwenyeumri kati ya 15 -24 ni kupoteza muda. Amka

    Sio tatizo ukiona wako kaliwa jua wewe ulikula wa mtu
  8. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpenda sana mwanamke mwenyeumri kati ya 15 -24 ni kupoteza muda. Amka

    Tatizo mimi nikisema mdogo huyu nimuache, mwengine anasema kidakwa hiki chaliwa hata na chumvi mara wamemuorojesha, wacha tuwale tu.
  9. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [colour =red ] Mbona haikubali
  10. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Kama hivi [color =blue ]
  11. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

    Tatizo liko wapi au ulitaka mpaka aandike kizungu, mfuate kiongozi wako Sir Chande kuzimu.
  12. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Jaji Othman Chande: Mahakama hazipendelei, hazishinikizwi.

    Kesi ya huyo mtoto ili kuwaje na iliishia vipi?
  13. Mkopi salo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hahahahaa
  14. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Uvamizi Clouds: Mkuu wa Mkoa, Nape, Clouds Media na kamati ya Nape wana makosa

    Maelezo yako yote ukosea kitu kidogo tu, kuto kujua kuwa waziri ameunda kamati kuchunguza kiini cha lililo tokea na kamati ikaja na majibu ya tukio kwahiyo kama hakuipa ushirikiano ni ujinga wake sio kosa la waziri wala kamati.
  15. Mkopi salo

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Makonda Bashite
Back
Top Bottom