hii ni aibu sana kwa nchi.ujue human traficking ni issue ya dunia na ni kashfa kubwa sana! rais wetu alipaswa ajue majibu yake hata kabla ya kuulizwa kwani kidiplomasia ni issue iliyojulikana siku nyingi sana!. Anyway kama kawaida yetu tutayeyeusha kibongobongo na itaishia hapo lakini aibu tunayo.
Maige anapaswa kukaa kimya ama maumvi, msabaha na kala maharage alivyofanya wakati uleeee!. Lakini hebu mnijuze kwanza sheria inasemaje kuhusu "mauzo" ya wanyama hai. Je ni prohibited ama kuna mahala kuna upenyo katika sheria zetu na hasa tukizungumzia mauzo ya Tembo, Chui, Faru, twiga, Simba...
Reli ilikuwa mtwara - masasi na iling'olewa na simba wa Vita mzee, marehemu Rashid Mfaume Kawawa wakati akiwa waziri mkuu. sina kumbukumbu sahihi ni kipi kilichomkasirisha hadi kumshauri mwalimu aing'oe! Hata hivyo mjadala unapoelekea kidini inakuwa ni ujinga mkubwa
hII NAYO NI MBINU YA KUDHOOFISHA UPINZANI, INABIDI UWEPO UAMSHO MKUBWA KWA VIJANA ILI WASIDANGANYIKE NA ULAGHAI HUO KWANI NCHI HII NI YA VIJANA SIO WAZEE, VIJANA WAKILALA AMA KUWA WAOGA BASI,.... HAKUNA MAENDELEO WALA DEMOKRASIA YA KWELI
Yes, pengine ana jamaa aliyekuwa anampenda mno na alikubali kuolewa nawe kwa hofu ya kutoswa na huyo jamaa wa kwanza. hebu tuambie ulimuoa akiwa na umri gani, kama alikuwa anakaribia 30 au zaidi basi aliolewa ili bora aitwe mke wa mtu!
Mkuu pole, ongea na the wife wako kwa upole mkiwa nje ya nyumba yenu.... out maana yake, muulize kwa upole ni namna gani anajisikia wakati wa mechi na kipi kifanyike ili ainjoi na tendo, nawe jaribu ku-reflect siku za nyuma ulikuwa unafanyaje mpaka akawa anafika kileleni. Shauri hata kuwaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.