Recent content by mkongojoli

  1. mkongojoli

    Kwanini nawachukia wanaume?

    Inaumiza sana ila samehee tu bure,its good for u too.
  2. mkongojoli

    Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

    Sio laana peke yake yaani mtakua mmetudisapoint sana watanzania kwa sababu hii ndo nafasi pekee ya kuiwajibisha serikali ya ccm, inawezekana 2010 tulichagua kwa kufuata mkumbo au uoga au kutojua au ahadi au kuhongwa nk. mambo ni mengi, kitu cha kujiuliza? kwa nini tusijifunze kutokana na makosa...
  3. mkongojoli

    Women Down!

    Kweli Keren hata mimi kwenye akili sikubaliani nae, kuna wanawake wengi tu mbona vichwa, tena sana tu hata kushinda wanaume, kuna vitu haviiangalii jinsia ukiacha akili ,kuna kipaji pia nk. hivi mtu anazaliwa navyo angalia kwenye mziki kwa mfano jinsia zote mbili zinafanya vizuri, kinachowafanya...
  4. mkongojoli

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Naona na wewe umeamua kudandia gari kwa mbele, kipi mwita alichopatia hasa? au unataka tutoke kwa mwita tuhamie kwako?
  5. mkongojoli

    Nauza piki piki

    Kwa hiyo hukusoma hilo jina wakati unanunua au ilikua usiku?
  6. mkongojoli

    Nauza piki piki

    Mkuu ina tatizo gani au ni hilo jina?
  7. mkongojoli

    Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

    Ya ni kweli vibuti vinauma ila hakuna jinsi lazima ukubali na kisha usahau, haya ndo maisha, ukisema huwezi kusahau unakua unashindana na nature, jiulize kuna wangapi na wewe umewapiga vibuti? ukipata jibu utakubaliana na hiyo hali coz ili mapenz yatokee lazima unayempenda awe na feelings kama...
  8. mkongojoli

    Wanaume na I LOVE YOU

    Bebii tatizo sio I LOVE YOU, pale mwanzoni ukishaambiwa hiyo I LOVE YOU au hata usipoambiwa unatakiwa uweke terms and conditions, what do u need to achieve from the relationship coz mara nyingi goals zinakua tofauti wakati yeye anafakiria short time relation labda ww unafikiria long time...
  9. mkongojoli

    Kikwete anasubiri nini kumfukuza kazi Ngeleja?

    Uamuzi wa Mheshimiwa Rais kumtetea Ngeleja kuwa mgao wa umeme unasababishwa na ukame ndo umenifanya niamini kweli hapa hatuna kiongozi, hivi sisi (watanzania) ni watu wa kutegemea umeme wa maji peke yake? haingii akilini,vipi kuhusu vyanzo vingine, makaa ya mawe, gesi, madini ya uranium nk...
  10. mkongojoli

    Diwani wa Chadema Tangazo la Fiesta

    Nimeamini mkuu kweli Clouds ni mabingwa wa fitna, Sugu aachane nao tu.
  11. mkongojoli

    Kuanguka kwa Dr Slaa

    Kwa taarifa yako watanzania sasa hivi hawadanganyiki, unajifanya hauna dhiki kwa sababu uko kwenye system, watu wabinafsi kama nyinyi mnaojifikiria wenyewe tu lazima muogope mabadiliko kwa sababu once the system collapse u also collapse so lazima mpinge mabadiliko ili mwendelee kua kwenye...
  12. mkongojoli

    natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

    Hapo kwenye umri unatutenga anyway kuna swali unaulizwa unalikwepa, ni rafiki tu au mchumba?
  13. mkongojoli

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Hivi tatizo ni mfumo dume au? Mbona Richard alifanya au haikua live kama Bhoke au kwa sababu alishinda au wanaume wakifanya ruksa wanawake ndo inakua haramu.
  14. mkongojoli

    CHADEMA-Maendeleo, CCM-Amani

    Tatizo sio uvivu,we kama ulitaka tuisome ungeiweka hapa sio tuanze kuitafuta kwa sababu hiyo sio mada iliyo mezani,watu tuna mambo mengi,kua Great thinker haimaanishi ndo uwe unashinda humu.
Back
Top Bottom