Recent content by mkombe kasula

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

    m mashine itakosaje kukuosea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

    hii ni tamu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    hiyo ni biashara ya ROSTAM AZIZ.TUMEKWISHA KABISA HII NCHI TUNAPELEKESHWA MPAKA RAHA.MAGUFULI ATAKUMBUKWA SANA
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

    INGEPENDEZA MNGESEMA JIMBONI WAMEMTOA NANI ,VIPI MAJIMBO YA IRINGA NA KWA MPINA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Athari za Ujio wa Akili Mnemba (AI) katika Kuathiri Ubunifu na Fikra Tunduizi kwa Wanafunzi, Watafiti na Wataalamu: Nafasi ya Walimu wa Vyuo Vikuu

    AI Ndio uchawi wangu/(JINI LANGU) linanipa hela bila shida.kila kukicha watu wananiletea kazi kuanzia kuwaandikia expression of interst, project proposals ,concept notes , content za website nk mimi napiga tu hela kimya kimya kwani jini langu hili pendwa(ndagu) linanisaidia kutoa vitu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

    njoo na wewe uendeshe gari kwa miezi mitatu kwenda CONGO AU SUDAN bila kurudi nyumbani kama hautakuwa na kiu ya kupunguza njiani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

    usishangae unawezakuta hivyo vitu vyote ulikuwa unavioona peke yako na mpaka muda huu hakuna madhara kwasababu na wewe ni mkubwa kimila
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo, asikuambie mtu

    Ana power banks za kutosha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wawazi tu, hivi bwana harusi hapa amelenga nini kuuoa mmoja wa mapacha walioungana?

    MMOJA ATAKUWA ANAPIGA CHABO KILA SIKU
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kijiwe cha kitimoto pembezoni mwa barabara. Je, wazo hili ni sahihi?

    hii ni TANZANIA BWANA wewe fungua sehemu yeyote
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    kawaulize waliokufa! sisi hapa wote wazima au upo ndotoni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa baa Sinza, kero kwa wapita njia

    mpaka raha safi kabisa ningetamani hata kwenye makanisa ya hawa wanaotupigia makelele ya kanisani nako wangefungua BAR.Hasa kule Tanganyika Packers kwa mwamposa wangeweka vijiwe vya nyama choma kama kwa mrombo ingekuwa poa sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Hard Core ni Ben Gvir: Netanyahu ni cha mtoto😅

    ila hawa jamaa ni kama mashetani aisee! unajua wanaamini kabisa kuwa wao ndio watoto wateule wa Mungu na lile eneo wanaamini Mungu ndiye aliyewapa. ila mimi kinachonishangaza ile ardhi yenyewe ukiiona ilivyo unashangaa wanagombania nini hivi hawa jamaa wangekuja kupewa ardhi yetu hii ya Tanzania...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Duh huyo ndugu James Mlowe msimamizi kazi anayo. ila huyu mzee aliyemshauri kuandika hivi Mungu anamuoona yaani wote tutakuwa tunakufa tunaziacha mali hivi hivi jamani .Kuna kizazi watakuja kujadiliana na watamuhonga kuanzia huyo msimamizi wa mirathi, mahakama na mzigo ukagawanywa wote na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watapeliwa viwanja Kibaha

    ndio maana kwa Dar au miji yote hii kununua kiwanja unahitaji uangalifu mkubwa sana ni afadhali hata kununua nyumba kabisa
Back
Top Bottom