Uchawi upo, asikuambie mtu

Uchawi upo, asikuambie mtu

Kuna mwamba leo nimeona video yake anatokea Liwale huko anaenda na ndege yake ikaanguka,ameulizwa ungo unaweza kubeba watu wangapi,amedai hadi 30......amewataja watoto wake wawili wanaoishi dsm......nikajiuliza upo zako na washikaji kazini unaona unaletewa video ya mashua anakutaja daah 😔
 
Ila siwashangai wanaosema hakuna uchawi maana nakumbuka rafiki yangu mmoja alinishangaza aliponiambia katika maisha yake hajawahi kumshuhudia live hivi shoga, nikashangaa yani hii Dar mashoga wote hawa halafu hajawahi kumshuhudia shoga.

Kwahiyo kweli inawezekana unakuta mtu yeye uchawi anasikia tu watu wakijadili kama hivi ila nje ya hapo hakuna hata kisa kimoja alichowahi kukutana nacho.
 
Back
Top Bottom