Recent content by mkokotoni

  1. M

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Hivi mnabishania nini? Kama hoja ni sperms kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuunda kiumbe hebu tuangalie uhalisia, kama wewe ni mwanamke, kabla hujabishana angalia damu yako ya hedhi (ambayo ni yai ambalo halijarutubishwa so linatolewa nje muda wake umepita) je haina mapande ya damu...
  2. M

    Kufa masikini ni kujitakia! Kumbe fursa zipo!

    "Aliyelala usimuamshe......." "Asiyejua maana usimwambie maana, ukimwambia maana atasema......."!
  3. M

    Kufa masikini ni kujitakia! Kumbe fursa zipo!

    Umaskini huanzia kichwani mwa mtu, umepewa wazo si lazima ulichukue lote, mathalani kwenye uzi huu unaweza usifuge ila ukanunua na kukaanga huko mitaani, INALIPA!! Acheni ubishi na muanze kufanyia kazi mawazo ya bure mnayopewa! Inasikitisha ukipitia uzi km huu watu wanavyoleta ujuaji na kukata...
  4. M

    Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

    Dah, mitazamo ya kiuoga uoga. Yaani mtu aache kupigania haki yake unamwambia 'acha katafute nyengine', seriously? Hao waalimu waliomaliza vyuo tu hawajapata ajira huko kwenye shule za 'wabongo' wala serikalini wao watapata? Kwa nini mtu ajipangie pangie tu km yuko chumbani na mkewe? Hiyo haina...
  5. M

    Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

    Kama baba ako alivyomchukulia mama ako, au sio mwamba? Kula tano umenikosha sana!
  6. M

    Ni nini huwa kinapelekea eneo fulani kujikuta limekuwa na Makazi ya Kishua (wealthy neighbourhoods)?

    Na wale wanaoanza kujenga pale umeona matusi yao? Kila mmoja kainua msingi wa ghorofa, we unaanzia wapi kujenga ya chini 😂! Bado kila anaejenga ana bango la ujenzi kutoka manispaa, haya mwenzangu na mimi atatokea wapi aje kujenga kule? It's obviously kutakuwa kwa kishua tu, sio kwa mi-fensi...
  7. M

    Mbona kwarezma watu wanafunga na wala hawawakatazi wengine kula?

    Wazazi msiruhusu watoto wenu wa primary school kuchezea simu zenu haswa kipindi cha likizo au sikukuu km hii ya leo, inaleta usumbufu kwa Great thinkers, period!!!
  8. M

    Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Pole sana mzazi, lakini kumbuka kwenye kila jaribu au mtihani basi kuna mambo mawili, either ushukuru ama ukufuru! Jitahidi sana kuwa na shukrani kwa mola wako na mara zote angalia wa chini yako na si wajuu yako. Imagine wako unamtuma anaenda, vipi yule Malcom wa Kp (rip) aliyekuwa kalala tu...
  9. M

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Habari zenu wana jamvi. Mimi naomba nichepuke kidogo nje ya mada. Natamani kwenda vacay U.S/ U.K / Canada. Ni familia yenye 4 kids. Swali langu ni njia gani rahisi naweza kuitumia kufika mojawapo kati ya nchi hizo nikimaanisha unafuu wa gharama. Je naweza kwenda tu na nikajitembeza mwenyewe au...
  10. M

    Yaani kumzuia tu mke wangu kwenda Moshi nimezua ugomvi!

    Kunywa maji ya uhai lita 5 kwa mangi hapo nakuja kulipa 😂
  11. M

    Ni sehemu gani nzuri ya kutembelea kwa hapa Dar?

    Kama unapenda kuogelea unaweza fika kunduchi 'wet n wild' ni pazuri ku enjoy michezo ya maji kwa rika lote, watoto kwa wakubwa. Km ni mkaka na una vibe la kutosha pale utapapenda, mana wakaka wanaogelea weee, baadae wanawekewa nyimbo zenye mizuka basi wanacheza singeli hapo huku wanalowa na maji...
  12. M

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Na mliolala auxiliary police kwa kukutwa na wasichana au wavulana baada ya saa sita usiku mjitaje pia msione aibu 😄
  13. M

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Ndio mkuu, enzi hizo huyu waziri wa nini sijui, bwana Adolf Mkenda alikuwa anafundisha hapo chuo yeye na mke wake mzambia. Enzi za FASS Night, Five na Mass com, bcom yao ilikuwa inaitwa Managers night sijui, hahahaaa, wa miaka hii sijui hata kama wanaelewa 😁! Mana Fass ikaja kuitwa CASS...
Back
Top Bottom